Davido achekelea nyimbo yake kutumika katika movie huko Marekani

Davido achekelea nyimbo yake kutumika katika movie huko Marekani

Huyu muziki anafanyia starehe na sio kusaka pesa nasikia kwao mambo super kabisa
Sony ndo wanammanage na wao ndo wanasema lini wimbo mpya utoke sio kama kibongo bongo. Maana anapangiwa mpk collabo
 
hiyo nyimbo ni kubwa niliwahi kuisikia kwenye mashindano makubwa ya tenis ikipigwa wakati wa mapumziko
 
Kuna wakati nlimsikia soggy doggy yule jamaa wa kibanda cha simu kwamba nyimbo yake imetumika katika moja ya movies zinazoigizwa huko hollywood sijui ile tetesi iliishiaga wapi maana jamaa alusema ataifuatilia ili wamlipe.


Yule jamaa si muhaya, we huwajui wahaya kwa kupenda ujiko. Labda alikuwa anawapiga kamba mademu wamuone babu kubwa. Na hawa wakina Mwajuma wanaamini kitu chochote ukiwaambia.
 
Anafaidika na nini kupitia huwo wimbo wake kutumika kwenye muvi
 
Huyu muziki anafanyia starehe na sio kusaka pesa nasikia kwao mambo super kabisa
Hamna bhana... ni kweli kwao zipo lakini ukimya wake hauna uhusiano wowote wa ikiwa muzuki anafanyia njaa au hobby!
 
Soko la iyo movie litauzika sana nchi za africa hasa Nigeria.....Akili kumkichwa.
 
Back
Top Bottom