kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
Wiz kid haitaji kubebwa n kampuni yeye njia zinajifungua mara katokea kwny album ya r.KellyWiz Kid's Fans watadislike hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wiz kid haitaji kubebwa n kampuni yeye njia zinajifungua mara katokea kwny album ya r.KellyWiz Kid's Fans watadislike hii
Yeah..Hakuna kazi iliyofanyika..Nasikia jamaa walizinguaNakaaya ilikua Sony Denmark na sijui kama kuna kazi ilifanyika na mkataba haukua wazi sana. Davido kasign Sony HQ New York.
Its global deal man, take it easy!Huku Bongo kuna kamtu kamesaini ya Afrika tu ndio hivyo hatulali, sijui kangesaini ya Dunia kama Davido ingekuwaje!!!
Kumbe hawaeleweki....Yeah..Hakuna kazi iliyofanyika..Nasikia jamaa walizingua
Tunapenda wasanii wengi zaidi wa kiTz wafanikiwe, lakini ni kwanini mnapotosha ukweli hata kwa watu tunaojua nini kinachoendelea.. ......... Hiyo ni Sony Africa soma hapa. Ali Kiba signs deal with Sony au soma hapa wasifu wa huyo managing director, anajishughulisha na sony ya tawi lipi.https://www.linkedin.com/in/sean-watson-9bb19715Its global deal man, take it easy!
Teh teh..Acha ugomvi mpendwaKumbe hawaeleweki....
Tuwekeze nguvu kwenye kulinda tu tembo maana hakuna namna