Davido aingia mkataba na kufanya kazi ya music na SONY Music ya Marekani

Nakaaya ilikua Sony Denmark na sijui kama kuna kazi ilifanyika na mkataba haukua wazi sana. Davido kasign Sony HQ New York.
Yeah..Hakuna kazi iliyofanyika..Nasikia jamaa walizingua
 
Ili changa la macho tuu, Marekani hawana soko la miziki ya kiafrika kama mnavyofikiria labda abadilishe muziki wake aimbe wanachotaka wao kitu ambacho sidhani ataweza
 
Acha afanye nao kazi, ingekuwa kapata Diamond, angesema ka cheat mkataba, ana wivu wa kimaendeleo.
 
Natumaini kasoma vizuri mkataba kabla ya kuweka wino kwenye karatasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…