Bado kwa king wetu maana nae maji shingoni
Yule wa Bongo anaona aibu kusema ukweli kuhusu Sony,ila ukweli maji ni ya shingo,amebaki kuweka ratiba hewa ya kwenda kuwapigia wabongo wenzake S.A.
Hivi nyie mna akili nzuri?Hapa anaongelewa Davido na Meneja wake...mambo ya mkataba wa Sony yanatoka wapi?Kiba Anajifia na tai yake shingoni.
Nakuona unavyojitekenya na kucheka mwenyewe.Bado kwa king wetu maana nae maji shingoni
Utajaza mwenyeweNakuona unavyojitekenya na kucheka mwenyewe.
Kwa akili ya kawaida tu hapo Unadhani mwenye matatizo ni Sony au huyo Meneja wake aliemfukuza?!
Hawa majirani zetu wana akili za visoda broh...Nakuona unavyojitekenya na kucheka mwenyewe.
Kwa akili ya kawaida tu hapo Unadhani mwenye matatizo ni Sony au huyo Meneja wake aliemfukuza?!