Endeleeni kujitekenyaHawa majirani zetu wana akili za visoda broh...
Davido kavunja mkataba na meneja wao wanaleta habari za Sony.
Ujue huu mkabata unawauma sana?Hata shemeji yako alitokwa povu sana kipindi kile [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni kujitekenyaHawa majirani zetu wana akili za visoda broh...
Davido kavunja mkataba na meneja wao wanaleta habari za Sony.
Ujue huu mkabata unawauma sana?Hata shemeji yako alitokwa povu sana kipindi kile [emoji23] [emoji23] [emoji23]
jibu analo mrisho ngasaBadala ya kwenda mbele 2017, kuna watu wamechagua kurudi nyuma.
Labda kuna kitu amesahau nyuma ameona bora akirudie.
😎Safari njema kwake.
Una mipasho kama Zari.Kudhihirisha kuwa na ww ni zuzu kiwango cha lami ni kuchangia hoja zilizoandikwa na ma idiot hu jioni kama dishi limecheza iv Dada angu
Hawa ndio walivyo.Hawa majirani zetu wana akili za visoda broh...
Davido kavunja mkataba na meneja wao wanaleta habari za Sony.
Ujue huu mkabata unawauma sana?Hata shemeji yako alitokwa povu sana kipindi kile [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Meneja Wake ndiye amemuingiza chaka kusain sony kama ulikuwa hujui.Hivi nyie mna akili nzuri?Hapa anaongelewa Davido na Meneja wake...mambo ya mkataba wa Sony yanatoka wapi?
Au huyo meneja wake ndio Sony yenyewe?
Idiots [emoji57]
Hivi nyie mna akili nzuri?Hapa anaongelewa Davido na Meneja wake...mambo ya mkataba wa Sony yanatoka wapi?
Au huyo meneja wake ndio Sony yenyewe?