Davido ampiga chini Meneja wake, ataki tena kwenda international

Hawa majirani zetu wana akili za visoda broh...
Davido kavunja mkataba na meneja wao wanaleta habari za Sony.

Ujue huu mkabata unawauma sana?Hata shemeji yako alitokwa povu sana kipindi kile [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Endeleeni kujitekenya
 
Hawa ndio walivyo.

Baba yao Dimond aligombana na Ommy Dimpoz ila kwenye ugomvi akamjumuisha mpaka Ali.
 
Hivi nyie mna akili nzuri?Hapa anaongelewa Davido na Meneja wake...mambo ya mkataba wa Sony yanatoka wapi?
Au huyo meneja wake ndio Sony yenyewe?
Idiots [emoji57]
Meneja Wake ndiye amemuingiza chaka kusain sony kama ulikuwa hujui.
 
Hivi nyie mna akili nzuri?Hapa anaongelewa Davido na Meneja wake...mambo ya mkataba wa Sony yanatoka wapi?
Au huyo meneja wake ndio Sony yenyewe?

"Fcuk all that international sh!t", nadhani ndio Sony wameingia.
 
Back
Top Bottom