Davido amzawadia mpenzi wake Chioma, gari yenye thamani ya zaidi ya milioni 280 za kitanzania

Davido amzawadia mpenzi wake Chioma, gari yenye thamani ya zaidi ya milioni 280 za kitanzania

Pol Paul

Member
Joined
Apr 15, 2018
Posts
66
Reaction score
55
Msanii Davido amemzawadia mpenzi wake Chioma zawadi ya gari aina ya Porsche katika maadhimisho ya siku yake ya kuzaliwa.

thechefchii_BiRUJk0Hmzc.jpg


Gari hiyo ina thamani ya takribani Naira Milioni 45 ambazo ni Shilingi za Tanzania zaidi ya Milioni 280.


 
Kwann umezibadili kuja kwenye TSH? kwan Davido kanunua gari huku au?
Fanya kuiweka katika Nigerian Shillng....
 
Back
Top Bottom