bro/sis wewe unaendesha gari gani??? gari ya TZS200m dunia nzima sio gari ya kawaida msipende kudanganya watu..... gari za kawaida hata huko us/uk/canada ni dollar 10-30,000
Nina baiskeli phonex. Pia RRONDO nani muongo kati yangu mimi na wewe! Umeenda nchi gani umekuta gari ni dola 10?
Mimi sijamdanganya mtu yeyote nimetoa mtazamo wangu tuu,na mtazamo huu umekuja sababu Davido ni msanii anayesemekana ana hela nyingi na ni wa kimataifa. Nimejaribu tuu kuangalia hilo na kulinganisha na wasanii wetu hapa bongo na Afrika mashariki kwenye issue ya umiliki wa vyombo vya usafiri.
We unayo?
10-30,000 dola ngoja niweke kwa maneno ni kati ya elfu kumi mpaka elfu thelathini no point kuweka 10,000-30,000 ni waste of space!
brother tzs200m ni zaidi ya USD 100,000....gari ya bei hio si ya kawaida US/UK/CANADA/DUBAI kokote kule dunia hii.

Tumeelewana mkubwa,labda nikuhoji kama umeelewa maelezo yangu hapo juu?? Hoja yangu si bei ndogo bali ni ulinganifu. Rejea pale juu RRONDO.
Mkuu davido ana magari mengi ya kifahari. Nyumba tu aliyoinunua thamani yake ni billion moja na million mia sita za kitanzania.
Hiyo gari aliyonunua sasa ni toleo la mwaka huu
Unashangaa benzi nenda dubai police wanapiga doria na ferari
Naomba unitajie wasanii wawil wa A/mashark wenye mkoko wa thaman ya zaid ya Tsh 200mil au unaongelea Prado TX na escalede old models mkuu?
10-30,000 dola ngoja niweke kwa maneno ni kati ya elfu kumi mpaka elfu thelathini no point kuweka 10,000-30,000 ni waste of space!
brother tzs200m ni zaidi ya USD 100,000....gari ya bei hio si ya kawaida US/UK/CANADA/DUBAI kokote kule dunia hii.
Kwa Dubai gari hiyo inauzwa UAE DHS 200,000/ambazo ni sawa na TSH 85 ML...sijui ukiweka na Tax ni kiasi gani lakini kwa 200ml sio kweli kabisa.
Hiyo gari ni ya 20I4 siyo mnazoendesha za 2002.pia ukinunua gari ukiweka na kodi bei inakuwa juu pia bei za magari zinatofautiana kulingana na wap umenunua na ni ya mwaka gani
Kaka hiyo gari inategemea kainunulia wapi kwa Dubai model ya mwaka 2014 ni hiyo bei niliyokwambia. 200,000dhs ambayo ni Tsh 85ml si zaidi ya hapo.