lucky sabasaba
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,656
- 1,204
Weka na gharama ya kusafirisha na kodi utaona inafika million 200,000,000 tzsh
Aiseeeee!! Ulofa kitu kibaya sana, tunapigia mahesabu utajiri wa watu??
Tunataka kuionyesha jamii kuwa haya Magari hawa wasanii wanayo post facebook na kutuonyesha bei zake si kweli,isikukatishe tamaa..kuna thread nyingine tunaletewa eti msanii fulani wa bongo movie ana utajiri wa kutisha !!!!kisa kapost gari facebook na kutuambia gharama fake alizonunua,uongo mtupu
Kwa Dubai gari hiyo inauzwa UAE DHS 200,000/ambazo ni sawa na TSH 85 ML...sijui ukiweka na Tax ni kiasi gani lakini kwa 200ml sio kweli kabisa.
Kuisafirisha mpaka Nigeria ni $1200 ushuru Nigeria unatozwa chini ya Tz haiwezi fika bei hiyo kwa gari ilo ata kidogo...Tatizo letu watu wengi tukinunua kitu kwa Tsh 10 unataka jamii ijue umenunua kwa Tsh 100..wahindi na Wachina wakinunua kitu kwa Tsh 100 wanajishusha na kutaka jamii ijue wamenunua kwa Tsh 10...Gari ilo kwa Tsh 200,000,000/ Si kweli..
Kaka hiyo gari inategemea kainunulia wapi kwa Dubai model ya mwaka 2014 ni hiyo bei niliyokwambia. 200,000dhs ambayo ni Tsh 85ml si zaidi ya hapo.
Kaka najaribu sana kukutumia picha za hilo gari lakini kasimu kangu kanaleta matatizo,lakini kama unapoona hapo juu kuna jamaa hilo la 2014 kaliendesha kwa miezi 2 kaamua kuliuza kwa dh 99,000/ ambazo ni kama madafu Tsh 41,000,000/ hilo jipya kuna sehemu hapa Dubai unalipata kwa 85ml na chini ya hapo ata kwa specifications ulizoonyesha,hizo webstite ulizoziweka ni za matapeli tu...Nigeria wananunua gari zao nyingi tokea Europe,usafirishaji na bei zinakuwa chini zaidi!ndio maana nasema inategemea kanunulia wapi kwa hapa Dubai ni bei ya kawaida sana.Aksante
Kaka najaribu sana kukutumia picha za hilo gari lakini kasimu kangu kanaleta matatizo,lakini kama unapoona hapo juu kuna jamaa hilo la 2014 kaliendesha kwa miezi 2 kaamua kuliuza kwa dh 99,000/ ambazo ni kama madafu Tsh 41,000,000/ hilo jipya kuna sehemu hapa Dubai unalipata kwa 85ml na chini ya hapo ata kwa specifications ulizoonyesha,hizo webstite ulizoziweka ni za matapeli tu...Nigeria wananunua gari zao nyingi tokea Europe,usafirishaji na bei zinakuwa chini zaidi!ndio maana nasema inategemea kanunulia wapi kwa hapa Dubai ni bei ya kawaida sana.Aksante
wewe utakuwa umeangalia STANDARD S-CLASS....hii ya Davido ni S63 4matic its not ur average merc s-class kama hizo zako za dubai....angalia bei yake hapo chini kwenye WEBSITE YA MERCEDES BENZ,kama alivyosema Money Stunna
S63 AMG Luxury Sports Sedan | Mercedes-Benz
Hata mitumba yetu tunayoagiza yaani Used, bei ya Japan ni kubwa lakini Used yake ni bora kuliko used toka Dubai, na bei ya used ya kibongobongo kwa maana gari used toka Zanzibar lina mikwaruzo mingi kuliko la Dubai na hivyo bei ni ndogo! Kwa gari hiyo ya 2014, bei hiyo ni halali! Unajua ukiangalia gari kijujuu tu unaweza usielewe bei kwa nini hupishana sana, wakati jina au shape ni moja. Mfano mdogo inaleta shida gari zuri aina ya verossa hupishana parefu sana na mark X, lakini ukiangalia juu juu huwez kuamini. Premio New model( kibongo bongo, siyo new kwa maana ya current) zinafanana kwa shape na Allion, lakini bei ni tofauti!
kaka yangu cheza nadhani hujui unachosema,used cars za dubai hazitumiki dubai hasa zinazoingia tanzania,kwa taarifa yako tu dubai ndio soko kuu la magari used ya mkono wa kulia duniani kote,soko lake lipo al aweer car showroom{waweza ku google}pale gari zinauzwa kwa wingi kuliko zinavyouzwa japan,soko kuu la magari linatawaliwa na wa pakistani iwe dubai au japan na makazi yao ni dubai hivyo wengi walio na showroom japan wana showroom dubai,kusema used cars za dubai zinatumika dubai ni maneno ya vijiweni maana dubai wanaendesha gari za kushoto na sisi tunaendesha za kulia,kuna siri kubwa sana ya magari yanayokwenda zanzibar ndio maana bei zake unaona ndogo....turudi kwenye mada 2014 mercedes-benz c63 - new c63 $62,405 usd all options
New Model 2014 Mercedes-Benz S63 AMG 4MATIC -
AED 99,800
AED ni pesa inayotumika Dubai hiyo 99,000/ ni almost Tsh 41ml...siku ukitaka kununua hiyo gari Mh Prondo nitafute achana na mambo ya google siku hizi vishoka wengi..Karibu sanaaa
2014 Mercedes-Benz C-Class C63 AMG C2014 Mercedes-Benz C-Class 2014 Mercedes-B
Price: $62,750
2014 Mercedes-Benz C-Class C63 AMG Coupe
Price: $62,750
MPG: 13 - 19 mpg