Davido aonesha jeuri ya pesa anunua gari mpyaaaa ya mwaka 2014 tzsh million 225

Davido aonesha jeuri ya pesa anunua gari mpyaaaa ya mwaka 2014 tzsh million 225

Weka na gharama ya kusafirisha na kodi utaona inafika million 200,000,000 tzsh

Kuisafirisha mpaka Nigeria ni $1200 ushuru Nigeria unatozwa chini ya Tz haiwezi fika bei hiyo kwa gari ilo ata kidogo...Tatizo letu watu wengi tukinunua kitu kwa Tsh 10 unataka jamii ijue umenunua kwa Tsh 100..wahindi na Wachina wakinunua kitu kwa Tsh 100 wanajishusha na kutaka jamii ijue wamenunua kwa Tsh 10...Gari ilo kwa Tsh 200,000,000/ Si kweli..
 
Aiseeeee!! Ulofa kitu kibaya sana, tunapigia mahesabu utajiri wa watu??

Tunataka kuionyesha jamii kuwa haya Magari hawa wasanii wanayo post facebook na kutuonyesha bei zake si kweli,isikukatishe tamaa..kuna thread nyingine tunaletewa eti msanii fulani wa bongo movie ana utajiri wa kutisha !!!!kisa kapost gari facebook na kutuambia gharama fake alizonunua,uongo mtupu
 
Uko sahihi usema bei ya juu ili kutengeneza jina kwenye media na mitandao.

Wengine ata wakiazima usema ya kwao wamenunua wanakuja kuumbuka wakipokonywa mfano wa ili ni diamond.

Pia kuna wasanii tz gari ununua million kumi lakin wao usema million 35.

Ata wasanii wa ug na kenya ni hivyo hivyo. Kwa ufup Wasanii toka afrika ni waongo sana sababu ya ulimbukeni
 
Last edited by a moderator:
Kuisafirisha mpaka Nigeria ni $1200 ushuru Nigeria unatozwa chini ya Tz haiwezi fika bei hiyo kwa gari ilo ata kidogo...Tatizo letu watu wengi tukinunua kitu kwa Tsh 10 unataka jamii ijue umenunua kwa Tsh 100..wahindi na Wachina wakinunua kitu kwa Tsh 100 wanajishusha na kutaka jamii ijue wamenunua kwa Tsh 10...Gari ilo kwa Tsh 200,000,000/ Si kweli..

Acha ubishi kaka,basi jishughulishe hata uangalie website ya mercedes,pia hizo S-CLASS zinatofautiana bei,sio zote ni bei hio ulioona dubai,ya Davido ni kama hio hapo chini,na ndio bei yake wala hajaongeza kitu

cc: OLESAIDIMU

S63 AMG Luxury Sports Sedan | Mercedes-Benz
 
Last edited by a moderator:
Kaka hiyo gari inategemea kainunulia wapi kwa Dubai model ya mwaka 2014 ni hiyo bei niliyokwambia. 200,000dhs ambayo ni Tsh 85ml si zaidi ya hapo.

na gari haitegemei kanunua wapi,inategemea na SPECIFICATION.....Kwenye mercedes benz kitu AMG ni bei almost mara mbili ya standard mercedes. hii ya davido ni AMG wewe unaangalia bei za standard mercedes unalinganisha na hio,AMG ununue CFAO au MB GERMANY BEI ILE ILE tofauti itakuwa taxes kutegemea na nchi.

huwezi kutuambia hapa eti model ya 2014 bei ni so and so kwani zina specification sawa? gari zina specs tofauti na bei ndio zinapotofautiana
 
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: main_content"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Home » Cars & Accessories » Cars For Sale » Back To Result
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD][h=1]New Model 2014 Mercedes-Benz S63 AMG 4MATIC -[/h]AED 99,800
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="colspan: 4"]

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 25%"]
user_MK5GFC-1397220335-d_pic.jpg
[/TD]
[TD="width: 25%"]
user_MK5GFC-1397220346-d_pic.jpg
[/TD]
[TD="width: 25%"]
user_MK5GFC-1397220364-d_pic.jpg
[/TD]
[TD="width: 25%"]
user_MK5GFC-1397220385-d_pic.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 25%"]
user_MK5GFC-1397220394-d_pic.jpg
[/TD]
[TD="width: 25%"]
user_MK5GFC-1397220408-d_pic.jpg
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Posted on Apr 11, 2014 | Hits: 283 | Stock No: #10397106
Make: Mercedes-Benz
Model: S-Class
Sub-Model: S 63 AMG
Body Style: Saloon (Sedan)
Year of Make: 2014
Transmission: Automatic
Condition: Used
Country: [h=1]United Arab Emirates[/h]
City: [h=1]Dubai[/h]
Neighborhood: Jumeirah

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="width: 50, align: left"]
[/TD]
[TD="width: 80, align: left"][/TD]
[TD="width: 420, align: left"] Share Add to favorites Print Report Offensive Ad [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

DescriptionThis S63 AMG 4MATIC 's level of quality is not meant for just anyone. It's meant for the person who strives for a classy, comfortable, and luxurious car. Only Km 1,807 on board,Amazing car,fully maintained, extremely clean and in excellent condition 1-owner,no accident or mechanical history recorded,full option all equipments work perfectly well, everything runs smoothly!

Vehicle Features
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Anti-theft device[/TD]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]ABS[/TD]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Electronic Stability Program (ESP)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Immobiliser[/TD]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Passenger Airbag[/TD]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Rear seat belts[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Safety Belt Pretensioners[/TD]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Safety Belt[/TD]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Side Airbags[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Xenon headlightss[/TD]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Alloy Wheels[/TD]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Catalytic Converter[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Rear Spoiler[/TD]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Air Conditioning[/TD]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Auxiliary heating[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Climate Control[/TD]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Cruise Control[/TD]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Electric heated seats[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Leather Seats[/TD]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Parking Sensors[/TD]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Power-assisted Steering (PAS)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Central Locking[/TD]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Power Seats[/TD]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Power Windows[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Panoramic Roof[/TD]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Tilt Steering Wheel[/TD]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]AM/FM Stereo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Cassette Player[/TD]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]CD Multichanger[/TD]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]CD Player[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Navigation System[/TD]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Premium Sound System[/TD]
[TD="class: options, width: 33%, bgcolor: #F9F9F9"]Traction Control[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Contact Info

More listings from this user

Kaka najaribu sana kukutumia picha za hilo gari lakini kasimu kangu kanaleta matatizo,lakini kama unapoona hapo juu kuna jamaa hilo la 2014 kaliendesha kwa miezi 2 kaamua kuliuza kwa dh 99,000/ ambazo ni kama madafu Tsh 41,000,000/ hilo jipya kuna sehemu hapa Dubai unalipata kwa 85ml na chini ya hapo ata kwa specifications ulizoonyesha,hizo webstite ulizoziweka ni za matapeli tu...Nigeria wananunua gari zao nyingi tokea Europe,usafirishaji na bei zinakuwa chini zaidi!ndio maana nasema inategemea kanunulia wapi kwa hapa Dubai ni bei ya kawaida sana.Aksante
 
weka bei yake likiwa jipya....hapa hatuzungumzii used. Davido kanunua JIPYA ndio kaweka hio bei sasa wewe unasema kaongeza bei kwa sababu unazungumzia USED!! gari ikishatoka dukani tu bei inashuka sana iwe hilo lililotumika miezi miwili!! ni sawa na mtu akwambie amenunua Range rover tsh 200M useme anadanganya kisa USED UK zinauzwa GBP 20,000.
 
Kaka najaribu sana kukutumia picha za hilo gari lakini kasimu kangu kanaleta matatizo,lakini kama unapoona hapo juu kuna jamaa hilo la 2014 kaliendesha kwa miezi 2 kaamua kuliuza kwa dh 99,000/ ambazo ni kama madafu Tsh 41,000,000/ hilo jipya kuna sehemu hapa Dubai unalipata kwa 85ml na chini ya hapo ata kwa specifications ulizoonyesha,hizo webstite ulizoziweka ni za matapeli tu...Nigeria wananunua gari zao nyingi tokea Europe,usafirishaji na bei zinakuwa chini zaidi!ndio maana nasema inategemea kanunulia wapi kwa hapa Dubai ni bei ya kawaida sana.Aksante

haya nakusaidia huko huko DUBAI MERCEDES hio gari bei inaanzia $183,700

Models | S-Class | Sedans & Coupés | Mercedes-Benz Dubai - Luxury Passenger Cars
 
[h=1]New Model 2014 Mercedes-Benz S63 AMG 4MATIC -[/h]AED 99,800

AED ni pesa inayotumika Dubai hiyo 99,000/ ni almost Tsh 41ml...siku ukitaka kununua hiyo gari Mh Prondo nitafute achana na mambo ya google siku hizi vishoka wengi..Karibu sanaaa
 
wewe utakuwa umeangalia STANDARD S-CLASS....hii ya Davido ni S63 4matic its not ur average merc s-class kama hizo zako za dubai....angalia bei yake hapo chini kwenye WEBSITE YA MERCEDES BENZ,kama alivyosema Money Stunna

S63 AMG Luxury Sports Sedan | Mercedes-Benz

Hata mitumba yetu tunayoagiza yaani Used, bei ya Japan ni kubwa lakini Used yake ni bora kuliko used toka Dubai, na bei ya used ya kibongobongo kwa maana gari used toka Zanzibar lina mikwaruzo mingi kuliko la Dubai na hivyo bei ni ndogo! Kwa gari hiyo ya 2014, bei hiyo ni halali! Unajua ukiangalia gari kijujuu tu unaweza usielewe bei kwa nini hupishana sana, wakati jina au shape ni moja. Mfano mdogo inaleta shida gari zuri aina ya verossa hupishana parefu sana na mark X, lakini ukiangalia juu juu huwez kuamini. Premio New model( kibongo bongo, siyo new kwa maana ya current) zinafanana kwa shape na Allion, lakini bei ni tofauti!
 
Last edited by a moderator:

siamini kama wewe ni mgumu kuelewa. Davido kaweka gari yake anaisubiri from dealer BRAND NEW NI $139,700. Sasa wewe unabisha kisa unailinganisha na USED ZA DUBAI. Huwezi kulinganisha USED na BRAND NEW CAR PRICES. gari ukinunua sasa hivi ukilitoa tu mlango wa showroom bei ishashuka over 20%. Hamna asiejua used car prices hapa.

USISEME bei ya gari ya DAVIDO ni ya uongo kisa unaona bei za USED mitandaoni ndio unalinganisha tena nimekuwekea website za gari mpya huko huko Dubai. kwa taarifa yako sehemu za watu wenye pesa kama Dubai USED cars ndi very cheap lucky sabasaba
 
Last edited by a moderator:
Hata mitumba yetu tunayoagiza yaani Used, bei ya Japan ni kubwa lakini Used yake ni bora kuliko used toka Dubai, na bei ya used ya kibongobongo kwa maana gari used toka Zanzibar lina mikwaruzo mingi kuliko la Dubai na hivyo bei ni ndogo! Kwa gari hiyo ya 2014, bei hiyo ni halali! Unajua ukiangalia gari kijujuu tu unaweza usielewe bei kwa nini hupishana sana, wakati jina au shape ni moja. Mfano mdogo inaleta shida gari zuri aina ya verossa hupishana parefu sana na mark X, lakini ukiangalia juu juu huwez kuamini. Premio New model( kibongo bongo, siyo new kwa maana ya current) zinafanana kwa shape na Allion, lakini bei ni tofauti!

Kaka yangu Cheza nadhani hujui unachosema,used cars za Dubai hazitumiki Dubai hasa zinazoingia Tanzania,Kwa taarifa yako tu Dubai ndio soko kuu la magari used ya mkono wa kulia duniani kote,soko lake lipo Al aweer car showroom{waweza ku google}pale gari zinauzwa kwa wingi kuliko zinavyouzwa Japan,Soko kuu la magari linatawaliwa na wa Pakistani iwe Dubai au Japan na makazi yao ni Dubai hivyo wengi walio na showroom Japan wana showroom Dubai,kusema used cars za Dubai zinatumika Dubai ni maneno ya vijiweni maana Dubai wanaendesha gari za kushoto na sisi tunaendesha za kulia,kuna siri kubwa sana ya magari yanayokwenda Zanzibar ndio maana bei zake unaona ndogo....turudi kwenye mada 2014 Mercedes-Benz C63 - New C63 $62,405 USD All Options
 
kaka yangu cheza nadhani hujui unachosema,used cars za dubai hazitumiki dubai hasa zinazoingia tanzania,kwa taarifa yako tu dubai ndio soko kuu la magari used ya mkono wa kulia duniani kote,soko lake lipo al aweer car showroom{waweza ku google}pale gari zinauzwa kwa wingi kuliko zinavyouzwa japan,soko kuu la magari linatawaliwa na wa pakistani iwe dubai au japan na makazi yao ni dubai hivyo wengi walio na showroom japan wana showroom dubai,kusema used cars za dubai zinatumika dubai ni maneno ya vijiweni maana dubai wanaendesha gari za kushoto na sisi tunaendesha za kulia,kuna siri kubwa sana ya magari yanayokwenda zanzibar ndio maana bei zake unaona ndogo....turudi kwenye mada 2014 mercedes-benz c63 - new c63 $62,405 usd all options

unachanganya madawa kabisa hapa gari tunayozungumzia ni mercedes benz s class sio c class!!!

Mercedes saloon ziko hivi
s-class
e-class
cls
c-class

kuwa makini usichanganye maanake hata bei hazifanani.
 
New Model 2014 Mercedes-Benz S63 AMG 4MATIC -

AED 99,800

AED ni pesa inayotumika Dubai hiyo 99,000/ ni almost Tsh 41ml...siku ukitaka kununua hiyo gari Mh Prondo nitafute achana na mambo ya google siku hizi vishoka wengi..Karibu sanaaa

mpya nitanunua CFAO hapa hapa DAR. nikitaka used nanunua from the best....UK sio DUBAI wala JAPAN
 
front_view.jpg
[h=2]2014 Mercedes-Benz C-Class C63 AMG C2014 Mercedes-Benz C-Class 2014 Mercedes-B

Price: $62,750
2014 Mercedes-Benz C-Class C63 AMG Coupe

[/h]
Price: $62,750
MPG: 13 - 19 mpg
 
front_view.jpg
2014 Mercedes-Benz C-Class C63 AMG C2014 Mercedes-Benz C-Class 2014 Mercedes-B

Price: $62,750
2014 Mercedes-Benz C-Class C63 AMG Coupe

Price: $62,750
MPG: 13 - 19 mpg

kumbe napoteza nguvu na muda wangu bure. HUJUI HATA TOFAUTI YA S-CLASS NA C-CLASS JIFUNZE BASI SIO UNABISHANA TU HUKU HUJUI HATA CLASS ZA MAGARI UNAYOZUNGUMZIA.

CHUKUA ELIMU NDUGU, S-CLASS NI TOFAUTI NA C-CLASS,E-CLASS,A-CLASS,B-CLASS,G-CLASS NA BEI NI TOFAUTI.

GARI YA DAVIDO NI S-63 AMG SIO C-63 AMG USILINGANISHE BEI YA S-CLASS NA C-CLASS....IM OUT
 
Back
Top Bottom