Ulimbukeni ni pale unaposhobokea mnigeria wakati wao hawana time na mwanamziki wenu.
Uzalendo muhimu sana
At some point uzalendo pia ni kuichukia serikali
hoya bulldog tatizo nin mkuu jamaa amefurahia mafanikio ya davido kwani vibaya? coz davido naye ni mwafrika mwenzetu mkuu!
Sisi watanzania tumerogwa vibaya sana....hivi roho haituumi tukisikia watu kama wakina lupita nyong'o nk. wanafanya vizuri nje ya kenya? Sisi diamond kufikia hapo alipo ni mafanikio mazuri kwake na pia ata kwa taifa la Tanzania..tuacheni ubinafsi na chuki za wazi wazi. Tupende vyetu na tuvipe support jamani. Ata hao mnao waona ni bora hawakuwa bora moja kwa moja,they started from the bottom.
Tunalazimishwa kumpenda ndomo wakat watu tuna mahaba na Davido aka mr awards aka mr skelewu aka msanii bora wa africa, ma haters watajibeba. Team davido for life beibiiiii
Ivi binamu jirani rehema yupo? Nilimsikia juzi akilia aamini tid alichomfanya wakat yeye alitak waunde compaign ya ant drugs
Kaka watanzania sijui hiyo roho tuliitoa wapi? Jiulize Diamond angekuwa mkenya leo .! Hope angukuwa mbali maana nchi nzima ingekuwa nyuma yake.
Na hili lipo katika kila jambo linalofanywa na mtanzania likaonekana bora tunabeza.
Diamond ni attention seeker na asipo angalia atajikuta anapiga na kuimba barazani kwa watu. Kapiga picha na award yake aliyoifuata Marekani (mbwa) akijuwa fika waislam wote Tanzania watakasirika na kuandika habari zake magazetini, ili akirudi wapambe wake wawe na cha kuongea. Ukisikia kuishiwa kimawazo ndiyo huku, yaani mtu unalazimisha kuandikwa magazetini?
Ivi anaishi na nani apo? Maana nilisikia anaish na mama yako
zamani alikua anakaa na bwana ake fulani hivi naona walishatemana maana jamaa siku hizi simuoni wakati alikuwaga full time available
sa hivi anakaa mwenyewe ila anakuwaga na vibint huwa vinakuwaga hapo
haishi na mama ake sema huwa namuona anakujaga sometimes
hahaaaaa dah eti rehema yupo sasa nimewaelewa siwawezi!
zamani alikua anakaa na bwana ake fulani hivi naona walishatemana maana jamaa siku hizi simuoni wakati alikuwaga full time available
sa hivi anakaa mwenyewe ila anakuwaga na vibint huwa vinakuwaga hapo
haishi na mama ake sema huwa namuona anakujaga sometimes
hahahahahaha ulikua hujajua muda wote
Ndo jina lake hilo best , ray c jina la mashauzi tu, ni rehema chalamila
Heaven on Earth nilikuwa nakupenda sasa unaanza kuniudhi....kwanini unaongea kimafumbo hivyo? Huyo Rehema ni nani?