Davido aonyesha jeuri ya fedha

Davido aonyesha jeuri ya fedha

binamu wasikunyime raha bhana na angalia mods wako makini mi nilipigwa ya mwezi mmoja nimerudi jana na aliyenisababishia ban ni matola tutakutana tu!

Ahahah ahhah maskni unatia huruma eti mtakutana tu ahahah pole bhana binamu ndo ukubwa
 
hoya bulldog tatizo nin mkuu jamaa amefurahia mafanikio ya davido kwani vibaya? coz davido naye ni mwafrika mwenzetu mkuu!

Ujue mkuu sisi waafrica tunabaguana sana.

Ukienda Kenya, watanzania wanaonekana watu low quality sana.

Ukienda Eqypt wanasema sio waafrica.

Ukienda Nigeria wanajithamini wao tu, hawana muda na wengineo.

Usitegemee Ukienda BET hata kama Diamond angekuwa toka Africa peke yake anawania tuzo asingepata support toka kwa hao wanigeria ambao sisi tunajidai kuwashobokea.

Shida sisi tunajidai much-know sana hasa yanapokuja mambo ya Tanzania kimataifa.

Nimepita kwenye stands za magazeti walivyoandika hii tuzo ni aibu.
 
Sisi watanzania tumerogwa vibaya sana....hivi roho haituumi tukisikia watu kama wakina lupita nyong'o nk. wanafanya vizuri nje ya kenya? Sisi diamond kufikia hapo alipo ni mafanikio mazuri kwake na pia ata kwa taifa la Tanzania..tuacheni ubinafsi na chuki za wazi wazi. Tupende vyetu na tuvipe support jamani. Ata hao mnao waona ni bora hawakuwa bora moja kwa moja,they started from the bottom.

Kaka watanzania sijui hiyo roho tuliitoa wapi? Jiulize Diamond angekuwa mkenya leo .! Hope angukuwa mbali maana nchi nzima ingekuwa nyuma yake.

Na hili lipo katika kila jambo linalofanywa na mtanzania likaonekana bora tunabeza.
 
Tunalazimishwa kumpenda ndomo wakat watu tuna mahaba na Davido aka mr awards aka mr skelewu aka msanii bora wa africa, ma haters watajibeba. Team davido for life beibiiiii

Ivi binamu jirani rehema yupo? Nilimsikia juzi akilia aamini tid alichomfanya wakat yeye alitak waunde compaign ya ant drugs

haihitaji kulazimishana hii nchi huru bana....

Rehema yupo na leo nimemuona anazidi kuiva na mkorogo kama papai
 
Kaka watanzania sijui hiyo roho tuliitoa wapi? Jiulize Diamond angekuwa mkenya leo .! Hope angukuwa mbali maana nchi nzima ingekuwa nyuma yake.

Na hili lipo katika kila jambo linalofanywa na mtanzania likaonekana bora tunabeza.

Huwa naishindwa kuelewa sijui ugumu unatokea wapi ku appriciate mbongo mwenzio? hao hao ndo wanaongoza kuiba kazi za wasanii kisha wanawasema vibaya eti fulani kafulia.yani wanapenda sana kuona downfall ya msanii yeyote wa bongo na sio mafanikio ...anagalia mtu kama Mr.nice miaka ile alivyokuwa anawika...uganda alipendwa sana lakini ukija Tanzania ni kituko..alivyo anza kufifia ndo kila mtu aliongea ya kwake. Nishida ndugu.
 
Diamond ni attention seeker na asipo angalia atajikuta anapiga na kuimba barazani kwa watu. Kapiga picha na award yake aliyoifuata Marekani (mbwa) akijuwa fika waislam wote Tanzania watakasirika na kuandika habari zake magazetini, ili akirudi wapambe wake wawe na cha kuongea. Ukisikia kuishiwa kimawazo ndiyo huku, yaani mtu unalazimisha kuandikwa magazetini?

Huyo anauislam gani waislam wako Bize na Allah kwa mfungo wa ramadhani yeye mwache ahangaike na dunia akhera hakuna award anazozitafuta sasa hivi ataxia cha kwenye ukutani
 
Ivi anaishi na nani apo? Maana nilisikia anaish na mama yako

zamani alikua anakaa na bwana ake fulani hivi naona walishatemana maana jamaa siku hizi simuoni wakati alikuwaga full time available
sa hivi anakaa mwenyewe ila anakuwaga na vibint huwa vinakuwaga hapo

haishi na mama ake sema huwa namuona anakujaga sometimes
 
hahaaaaa dah eti rehema yupo sasa nimewaelewa siwawezi!
 
zamani alikua anakaa na bwana ake fulani hivi naona walishatemana maana jamaa siku hizi simuoni wakati alikuwaga full time available
sa hivi anakaa mwenyewe ila anakuwaga na vibint huwa vinakuwaga hapo

haishi na mama ake sema huwa namuona anakujaga sometimes

MMh ivo vibinti hivyo asije akawa anavikoboa, maana rehema na madawa yake ata simwamin, ngoja tutaanza kufanya upelelez kama ni ma beki tatu, ndugu au ndo vipoozea roho.

Kuna kipindi nilisikia anakaa kwa mama yake bunju
 
zamani alikua anakaa na bwana ake fulani hivi naona walishatemana maana jamaa siku hizi simuoni wakati alikuwaga full time available
sa hivi anakaa mwenyewe ila anakuwaga na vibint huwa vinakuwaga hapo

haishi na mama ake sema huwa namuona anakujaga sometimes

Heaven on Earth nilikuwa nakupenda sasa unaanza kuniudhi....kwanini unaongea kimafumbo hivyo? Huyo Rehema ni nani?
 
Last edited by a moderator:
Hiviiii hatoiii nyimboooo maana mashairi kibaooo anayo ya kuhusu madawa yalivyomfanyaaa

Alisemaga ana nyimbo kumi na nne tayar na baadhi kaanza kuzitoa sema zimebuma, akaombe collabo na shoga yake wa zamani judy
 
Back
Top Bottom