Davido atambua mchango wa Tanzania

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,157
Hii ni Baada ya washabiki Wa mwanamuziki Diamond Platnumz kusambaza uongo kwamba msaanii Wa Nigeria Davido hajapendezwa na mchango Wa kura kutoka Tanzania.

Pia msanii huyu ameonesha mapenzi kwa Tanzania kwa kuposti bendera ya Tz na kuweka ishara ya upendo.

Mimi ninashauri kila mtu afanye kile akipendacho. Kama unaona moyo wako unakutuma kumuunga mkono Diamond Fanya hivyo. Na kama unaona Davido ndio anakufaa Fanya hivyo.

Si vyema kupangiana maisha chini ya mwavuli Wa uzalendo.
 
Wanaijeria ni wajanja sn pitia account ya yemi alade yeye kapost bendera ya Kenya hii inaitwa mind games.
 
LOoh nilitaka kuchanganyikiwa sio kwa vichambo vile, mi ata achambe vipi nampigia kura davido, ndo nshasema
Nakupendaje sasa!
Mimi hata watukane vipiii napiga kwa davido.
 
Hahahahaha naomba Dinazarde akusome vizuri. Ulishapita page ya idris na davido huko IG??? Pitamo. Ila idris amechambwa hadi amekimbia na kufuta post

Wee? Niliona aiseeh ile page ina maneno makal, halaf idris anajishaua na sura lake kama maiti ntaend kumchamba nfyuu kama wanafanyan na domo ni ukoo, ngoja nkamchambe na mm
 
Last edited by a moderator:


Davido kapost picha ya Tanzania, team diamond wamejaa huko wanatukana huko ni kujidhalilisha na kujishusha sana. atleast mngepiga kimya ili muonekane mko classy.
 
Kwani aliwakosea nini huyu Chibu?
Kamuacha wema na pia kamchukua mganda badala ya mtz hivo roho za wanawake wa kitz zinauma....
nanukuu kuna dada mmoja insta anaitwa siahkhamis kaandika "kwanini atuache sisi watanzania akachukue mwanamke mganda"

ushauri kwa kwa davido akija kupiga mti mmoja wapo huku tz(mheshimiwa wema) atapendwa zaidi ya hapa
 
No matter what Tanzania supported Davido. U don like 2 hear it? Smash ur mobile phone and stay offline......
 
Watanzania !! Em acha kujumuisha watu walio timamu upstairs.

Katambua mchango wa makahaba..

So many Tanzanians supporting this dude....so u want deny us our nationality jus bcoz we' voting davido?
 

Wema alimuacha Chibu na aliitambia ma wiki hata kabla hajamwambia anamuacha, sababu wengi walijua ndio mpango. Shida ni alipompata aliyemuzidi kwa maili nyingi akajaribu kucheza lile dana dana la kwa Penny akashindwa.

Ila kumtukania hadi mama yake na ndugu ameenda mbali sana, anachofanya shosti wake mbwa yeye anapitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…