tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Huyo kiba alivyorudi kila interview ni Dai mbaya alinifanyia hivi, diamond nilimwombea arekodiwe, Dai kakalia kiti changu, Dai anafanya muziki sio wakitz. Yeye kama anajiamini afanye kazi ziongee kama mwenzie sio majungu mengi ila mpaka sasa hakuna jipya ni haters za Diamond wamebaki kupiga kelele mitandaoni kumpaisha. Fanya ata show yake mcity tuone hao wshabiki wake, sio kelele wakati wenzie wanajaza viwanja vya mipira sasa.
Nimesoma hii post Instagram aibu nimeona mimi
Mamaeee zke huyo ----- w kariakoo anasafiria nyota y mbunye.....ana element z uchoko ataishia kukaa kwenye getto kma garage chibu c level yko
Kwani ukimtukana ndiyo unamsaidia?
Its more of a hate speech!!
Ndo mana mimi sitaki kumpigia wa nje ya TZ nataka kumpigia kura kiba hivi waweza kunikumbusha yupo kwenye kategori zipi ili kura isiende kwa wanaijeria ????????????Huyo bosi wenu mwenyewe anajiita CHIBU DANGOTE jina la mfanyabiashara wa nigeria iweje watu wengine wampigie kura davido wa hukohuko nigeria muanze kupiga kelele?
Kama uzalendo angeuanza diamond ajiite CHIBU MENGI, CHIBU BAKHRESA, au CHIBU ROSTAM. Kama yeye anawafagilia hao wanaigeria iweje kwa washabiki wa kiba iwe ni kujidharaulisha?
Washabiki wa diamond hamna hoja za msingi. All in all mlitakiwa mjiulize why mko desperate mnazunguka mitandao yote duniani kuonyesha kuwa wanachokifanya baadhi ya watanzania si sahihi. Mko desperate sana mnahitaji msaada
Kama uzalendo unaanzia nyumbani kwanini huyo diamond asijiite jina mfanyabiashara mkubwa Tanzania kajipachika jina la mfanyabiashara maarufu wa nigeria?
Jitu halina uzalendo sisi tulionyeshe uzalendo wa nini?
Haka ka mala... mi si kaelewi si ndo kalikuwa kanasema DIAMOND anasafiria nyota yake,lakini haishi kuweweseka kwa Diamond
Apambane kma mwanaume sio kuomba msaada wa backup ya wema na team yke.....mwenzake kashapanda juu atamsubiria miaka ashuke
Nionyeshe mahali popote ambako kiba kasema watu tusimpigie kura domo. Kiba ni one man army ndio maana hata huko kwenye ma social network yenu ham follow mtu.
Tatizo ni nyie ambao mko desperate hamuamini kuwa mnaweza kushinda mpaka mpate support ya mashabiki wa kiba. Yaani mpaka sasa mmeshaonyesha kuwa kiba yuko juu sana. Hamuamini kabisa kama bila kiba fans mnaweza kushinda.
Umefungua pm dadake Kiba?
Kiba bado sana istoshe kaomba msaada w bibie mbna iko wazi hiyo....atasubiri sana kwa chibu na stress z maisha ndio zitampiga sana,hizo tuzo hela yke akanunua hata kiwanja au apange sehemu ingine sio pale kwenye lile gheto la mwanamke
Vannesa mdee a.k.a VEE MONEY. Twanga hapo hutajutia kura yako. Pia mtwangie IDRIS SULTAN na yeye kawa nominated hukohuko.Ndo mana mimi sitaki kumpigia wa nje ya TZ nataka kumpigia kura kiba hivi waweza kunikumbusha yupo kwenye kategori zipi ili kura isiende kwa wanaijeria ????????????
Ila jamaa wamekuwa desperate sana asee,maana Mara wafungue account fake ya KTMA...Mara ya DAVIDO,Dah!...yani nomar kweli hii.
Vipi kiba hayupo ??????Vannesa mdee a.k.a VEE MONEY. Twanga hapo hutajutia kura yako. Pia mtwangie IDRIS SULTAN na yeye kawa nominated hukohuko.
Vipi kiba hayupo ??????
Boko haram watuchukue?Hii nchi inarudishwa nyuma na wanawake.!!