Davido atambua mchango wa Tanzania

Davido atambua mchango wa Tanzania

Huyo kiba alivyorudi kila interview ni Dai mbaya alinifanyia hivi, diamond nilimwombea arekodiwe, Dai kakalia kiti changu, Dai anafanya muziki sio wakitz. Yeye kama anajiamini afanye kazi ziongee kama mwenzie sio majungu mengi ila mpaka sasa hakuna jipya ni haters za Diamond wamebaki kupiga kelele mitandaoni kumpaisha. Fanya ata show yake mcity tuone hao wshabiki wake, sio kelele wakati wenzie wanajaza viwanja vya mipira sasa.

Mamaeee zke huyo ----- w kariakoo anasafiria nyota y mbunye.....ana element z uchoko ataishia kukaa kwenye getto kma garage chibu c level yko
 
Nimesoma hii post Instagram aibu nimeona mimi

Best ndio zetu wabongo tunaishi kwa unafiki 2 ila hata wafanye nini chibu yuko juu ana life nzuri......hao wazee wa lopolopo maisha yao hovyo 2 mtu umeimba miaka 8 huna hata banda unafadhiliwa n mwanamke kukaa kwenye getto lake.
Mimi mtu akinizidi uwezo napata hasira y kutafuta zaidi sio mtoto wa kiume unavuta mdomo 2
 
Mamaeee zke huyo ----- w kariakoo anasafiria nyota y mbunye.....ana element z uchoko ataishia kukaa kwenye getto kma garage chibu c level yko

Kwani ukimtukana ndiyo unamsaidia?
Its more of a hate speech!!
 
Huyo bosi wenu mwenyewe anajiita CHIBU DANGOTE jina la mfanyabiashara wa nigeria iweje watu wengine wampigie kura davido wa hukohuko nigeria muanze kupiga kelele?

Kama uzalendo angeuanza diamond ajiite CHIBU MENGI, CHIBU BAKHRESA, au CHIBU ROSTAM. Kama yeye anawafagilia hao wanaigeria iweje kwa washabiki wa kiba iwe ni kujidharaulisha?

Washabiki wa diamond hamna hoja za msingi. All in all mlitakiwa mjiulize why mko desperate mnazunguka mitandao yote duniani kuonyesha kuwa wanachokifanya baadhi ya watanzania si sahihi. Mko desperate sana mnahitaji msaada

Kama uzalendo unaanzia nyumbani kwanini huyo diamond asijiite jina mfanyabiashara mkubwa Tanzania kajipachika jina la mfanyabiashara maarufu wa nigeria?

Jitu halina uzalendo sisi tulionyeshe uzalendo wa nini?
Ndo mana mimi sitaki kumpigia wa nje ya TZ nataka kumpigia kura kiba hivi waweza kunikumbusha yupo kwenye kategori zipi ili kura isiende kwa wanaijeria ????????????
 
+kupata nominesheni tu kwetu sisi ni ushindi achilia mbali kupata tuzo, sababu hiyo ni dalili kua tunatambulika. Kuna nchi zingine hizo nominesheni za MTV sijui BET wanazisikiaga tu kwenye bomba.

+ turudi kwenye point ya Davido kupost bendera ya tz, hiyo binafsi naona poa tu sababu ni ishara kua huyo Davido sasa hivi Tanzania anaiwaza na kuitambua uwepo wake hiyo yote ni sababu ya Diamond icon ya Tanzania. Bila ya uwepo wa Diamond sasa hivi msingekua mnasherehekea Davido kupost bendera ya Tanzania niamini mimi.

+Kingine hizi juhudi za kuendesha kampeni mngekua mnaziendesha kumpromote Kiba wenu na wale maex wa icon mngefika mbali sana niamini mimi.
 
Apambane kma mwanaume sio kuomba msaada wa backup ya wema na team yke.....mwenzake kashapanda juu atamsubiria miaka ashuke

Nionyeshe mahali popote ambako kiba kasema watu tusimpigie kura domo. Kiba ni one man army ndio maana hata huko kwenye ma social network yenu ham follow mtu.

Tatizo ni nyie ambao mko desperate hamuamini kuwa mnaweza kushinda mpaka mpate support ya mashabiki wa kiba. Yaani mpaka sasa mmeshaonyesha kuwa kiba yuko juu sana. Hamuamini kabisa kama bila kiba fans mnaweza kushinda.
 
Nionyeshe mahali popote ambako kiba kasema watu tusimpigie kura domo. Kiba ni one man army ndio maana hata huko kwenye ma social network yenu ham follow mtu.

Tatizo ni nyie ambao mko desperate hamuamini kuwa mnaweza kushinda mpaka mpate support ya mashabiki wa kiba. Yaani mpaka sasa mmeshaonyesha kuwa kiba yuko juu sana. Hamuamini kabisa kama bila kiba fans mnaweza kushinda.

Kiba bado sana istoshe kaomba msaada w bibie mbna iko wazi hiyo....atasubiri sana kwa chibu na stress z maisha ndio zitampiga sana,hizo tuzo hela yke akanunua hata kiwanja au apange sehemu ingine sio pale kwenye lile gheto la mwanamke
 
Kiba bado sana istoshe kaomba msaada w bibie mbna iko wazi hiyo....atasubiri sana kwa chibu na stress z maisha ndio zitampiga sana,hizo tuzo hela yke akanunua hata kiwanja au apange sehemu ingine sio pale kwenye lile gheto la mwanamke

Usimtupie lawama mtu asiyehusika. Onyesha wapi kiba kasema asipogiwe domo kura? Hayo ya kumpigia kura davido ni mapenzi yetu kama ada ya mashabiki wa musiki. Mbona hampigi kelele kwa yeye KUJIITA DANGOTE ? Kama yeye anamfagilia tajiri wa nigeria sisi tukimfagilia davido shida iko wapi?
 
Ndo mana mimi sitaki kumpigia wa nje ya TZ nataka kumpigia kura kiba hivi waweza kunikumbusha yupo kwenye kategori zipi ili kura isiende kwa wanaijeria ????????????
Vannesa mdee a.k.a VEE MONEY. Twanga hapo hutajutia kura yako. Pia mtwangie IDRIS SULTAN na yeye kawa nominated hukohuko.
 
Dyamondi mdomo mkubwa sana ule unameza kuraa za wenzie
 
Na mtavote saaaaaaaaaana hadi kwa chris
brown kwenye grammy awards huku chibu
dangote huyoooooo anazidi tu kupaa anga...

Jana ametoka kushoot video aliyoshirikishwa
hukooo South ambapo kichupa kinatoka wiki hii...
Kasha kwea pippa yupo Mozambique sahivi
kaenda kushoot video nyingine hahaha..
tarehe 3 huyooooo anaanza tour ya mtvmama
awards, atakuwa na show ya kibabe saaaaaana
pale naija huku mnalinda tembo hahahahaha
walahi mtapanick mwaka huu

Mkumbuke tu akimaliza tour ya africa, mwezi wa
tisa anaenda marekani kwaajili ya video shoot na
mmanyema wa mbele yaaaani tunazo ngoma
zenye video tayari yakufanya tuwatapishe kilasiku
kwa miaka mitatu mfululizo na bado tunafanya
yetu... team dangote
oyoooooooooooooooooooooooooooo
oooooooooooooooooooooooooooooo
oooooooooooooooooooooooooooooo
oooooooooooooooooooooooooooo

Mkumbuke tu Taifa lishamtambua kuwa icon
tunasubiri muamze kumtumia kwenye noti
hahaha kama hampendi gademu kufwa for mr.
president dr. chibu dangote, Na unapozungumzia
tanzania unaongelea Mt. kilimanjaro na Diamond
platnumz ,..

taifastars mpira tushakalishwa vitatu sifuri jana, sa sijui mnataka atuwakilishe kibakuli ambae hata hawamtambui kama mwanamuziki, kwa miaka zaidi ya kumi mpaka leo anaota aje kupata hta nomination ya upcoming artist wakati mwenzake ndio among the most argued top five artists in the continent hahahahahaha
 
Back
Top Bottom