Boko haram watuchukue?
Boko haram watuchukue?
Na mtavote saaaaaaaaaana hadi kwa chris
brown kwenye grammy awards huku chibu
dangote huyoooooo anazidi tu kupaa anga...
Jana ametoka kushoot video aliyoshirikishwa
hukooo South ambapo kichupa kinatoka wiki hii...
Kasha kwea pippa yupo Mozambique sahivi
kaenda kushoot video nyingine hahaha..
tarehe 3 huyooooo anaanza tour ya mtvmama
awards, atakuwa na show ya kibabe saaaaaana
pale naija huku mnalinda tembo hahahahaha
walahi mtapanick mwaka huu
Mkumbuke tu akimaliza tour ya africa, mwezi wa
tisa anaenda marekani kwaajili ya video shoot na
mmanyema wa mbele yaaaani tunazo ngoma
zenye video tayari yakufanya tuwatapishe kilasiku
kwa miaka mitatu mfululizo na bado tunafanya
yetu... team dangote
oyoooooooooooooooooooooooooooo
oooooooooooooooooooooooooooooo
oooooooooooooooooooooooooooooo
oooooooooooooooooooooooooooo
Mkumbuke tu Taifa lishamtambua kuwa icon
tunasubiri muamze kumtumia kwenye noti
hahaha kama hampendi gademu kufwa for mr.
president dr. chibu dangote, Na unapozungumzia
tanzania unaongelea Mt. kilimanjaro na Diamond
platnumz ,..
taifastars mpira tushakalishwa vitatu sifuri jana, sa sijui mnataka atuwakilishe kibakuli ambae hata hawamtambui kama mwanamuziki, kwa miaka zaidi ya kumi mpaka leo anaota aje kupata hta nomination ya upcoming artist wakati mwenzake ndio among the most argued top five artists in the continent hahahahahaha
Sasa huyu mungu atatusikia kweli kama tunafanya chuki kwa wale aliowajaalia ??????????Kiba hayupo inshaallah kheir mwakani atakuwepo kwa mapenzi ya allah. Kashaanza na hizi sita za KTMA mwanzo mzuri.
Sasa huyu mungu atatusikia kweli kama tunafanya chuki kwa wale aliowajaalia ??????????
Wanaijeria ni wajanja sn pitia account ya yemi alade yeye kapost bendera ya Kenya hii inaitwa mind games.
Sasa huyu mungu atatusikia kweli kama tunafanya chuki kwa wale aliowajaalia ??????????
Kwani aliwakosea nini huyu Chibu?
Sasa huyu mungu atatusikia kweli kama tunafanya chuki kwa wale aliowajaalia ??????????
Na mtavote saaaaaaaaaana hadi kwa chris
brown kwenye grammy awards huku chibu
dangote huyoooooo anazidi tu kupaa anga...
Jana ametoka kushoot video aliyoshirikishwa
hukooo South ambapo kichupa kinatoka wiki hii...
Kasha kwea pippa yupo Mozambique sahivi
kaenda kushoot video nyingine hahaha..
tarehe 3 huyooooo anaanza tour ya mtvmama
awards, atakuwa na show ya kibabe saaaaaana
pale naija huku mnalinda tembo hahahahaha
walahi mtapanick mwaka huu
Mkumbuke tu akimaliza tour ya africa, mwezi wa
tisa anaenda marekani kwaajili ya video shoot na
mmanyema wa mbele yaaaani tunazo ngoma
zenye video tayari yakufanya tuwatapishe kilasiku
kwa miaka mitatu mfululizo na bado tunafanya
yetu... team dangote
oyoooooooooooooooooooooooooooo
oooooooooooooooooooooooooooooo
oooooooooooooooooooooooooooooo
oooooooooooooooooooooooooooo
Mkumbuke tu Taifa lishamtambua kuwa icon
tunasubiri muamze kumtumia kwenye noti
hahaha kama hampendi gademu kufwa for mr.
president dr. chibu dangote, Na unapozungumzia
tanzania unaongelea Mt. kilimanjaro na Diamond
platnumz ,..
taifastars mpira tushakalishwa vitatu sifuri jana, sa sijui mnataka atuwakilishe kibakuli ambae hata hawamtambui kama mwanamuziki, kwa miaka zaidi ya kumi mpaka leo anaota aje kupata hta nomination ya upcoming artist wakati mwenzake ndio among the most argued top five artists in the continent hahahahahaha
Kosa lake ni pale mrembo alipotingisha kiberiti akamfungulia mlango. Kumbe demu alikuwa kamind sana. Ndio akaunda timu yenye wafuasi wengi akina dada mashangingi ya mjini na michicha miba yote inamsapoti mrembo.
Ni hilo tu mambo ya mapenzi.
Hii ni Baada ya washabiki Wa mwanamuziki Diamond Platnumz kusambaza uongo kwamba msaanii Wa Nigeria Davido hajapendezwa na mchango Wa kura kutoka Tanzania.
Pia msanii huyu ameonesha mapenzi kwa Tanzania kwa kuposti bendera ya Tz na kuweka ishara ya upendo.
Mimi ninashauri kila mtu afanye kile akipendacho. Kama unaona moyo wako unakutuma kumuunga mkono Diamond Fanya hivyo. Na kama unaona Davido ndio anakufaa Fanya hivyo.
Si vyema kupangiana maisha chini ya mwavuli Wa uzalendo.[/QUOTE ipo siku utauza vocha ya tigo kisa unapenda tu
Dhumuni la hizo awards ni nini? Kumpigia kura msanii ambaye unapenda mziki wake? Au kupiga kura tuu ilmradi hata kama msanii hakufurahishi kisa katokea nchi kwenu?
Acheni upimbi. Mimi hakuna wa kunilazimisha kumpigia kura NDOMO nimejitambua na nitampigia kura msanii ambaye mimi binafsi namfeel.
Kama ni uzalendo nishaufanya kwa Vee money tayari nshampigia kuanzia kura hadi NYETO.