Davido athibitisha kuwa hana bifu na Diamond

Davido athibitisha kuwa hana bifu na Diamond

Jimondogwe

Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
38
Reaction score
17
Baada ya Maneno ya chini kwa chin kutoka kwa baadh ya watu kwamb hawa watu hawaiv Chungu kimoja...Kupitia Interview mbali mbali Diamond amekua akisema hana ugomvi na Davido mkali kutoka Nigeria amedhbitisha hlo kwa Kupost picha yake na Diamond kupitia Account yake ya Facebook na kusema ni jambo jema kuperfom tena jukwaa Moja na mkali huyo kutoka Tanzania katika tuzo za MTV!

Big up kwao #CHIBU #DAVIDO
 
Sio Instagram jamani ni Twitter!instagram hakuna post inayosema hivyo
 

Attachments

  • 1435864207275.jpg
    1435864207275.jpg
    40.8 KB · Views: 1,261
Hivi mtu unakurupukaje tu kuleta habari hata huna uhakika? Ndio maana hizi timu za instagram kazi kubwa ni kutusiana tu bila sbb
Huyo davido kapost hayo mamba facebook tunaambiwa instagram
 
Hivi mtu unakurupukaje tu kuleta habari hata huna uhakika? Ndio maana hizi timu za instagram kazi kubwa ni kutusiana tu bila sbb
Huyo davido kapost hayo mamba facebook tunaambiwa instagram

Utelezi wa Mlenda haumuangush mtu Mzima!
 
Baada ya Maneno ya chini kwa chin kutoka kwa baadh ya watu kwamb hawa watu hawaiv Chungu kimoja...Kupitia Interview mbali mbali Diamond amekua akisema hana ugomvi na Davido naye mkali kutoka Niger amedhbitisha hlo kwa Kupost picha yake na Diamond kupitia Account yake ya Facebook na kusema ni jambo jema kuperfom tena jukwaa Moja na mkali huyo kutoka Tanzania katika tuzo za MTV!

Big up kwao #CHIBU #DAVIDO

Kumbe Davido anatoka Niger??.. ama kweli kua uyaone!
 
Davido nae automatikale ni teamwasafi teh anaweza akauza kura kama dovutwa alivoiuzia sisiem
vote davido vote diamond lol...
 
Lugha haijaja na jahazi hii.... hivo hivo tunaunga unga tunaelewana

Mpenda sifa kama kawaa!ameona hazungumziwi sasa hivi amekuja na hili
 

Attachments

  • 1435868767723.jpg
    1435868767723.jpg
    77 KB · Views: 683
Mpenda sifa kama kawaa!ameona hazungumziwi sasa hivi amekuja na hili

hahahahahaha hii movie nimeipenda mnoo, ila mpaka sasa kwa kura tu chameleone ameshinda but kwao judges wana 70% nadhani itakuwa ngumu sna kuchomoka ka 2face hivii, au Dbanj
 
Nlichogundua na ndo ukweliz ni kwamba..Davido kesha ona Diamond hakamatiki.Ndo mana kaimiss sana kampani yake.Jaman huyu dogo ana nyota ya ajabu sana seriously.Damond anavothaminiwa sasa hv NIGERIA inafanya mpaka wasanii wa kule wana sense kitu flan ambacho hawakikutarajia.Mwishowe Davido anaona NO WAY OUT.Davido anatamani historia ijirudie.He miss those days.
 
Back
Top Bottom