Davido athibitisha kuwa hana bifu na Diamond

Davido athibitisha kuwa hana bifu na Diamond

binadamu hawana jema, ukwanini mwingi sana.. huyo h baba anamatatizo yake na huko instagram ndio anazngua kinoma yani na mashabiki wasivyo na adabu wanampa makavu mpaka ameweka private, me alisha nipaga block long time

Amefanya nini huko instagram huyo jamaa tupe habari mkuu
 
Amefanya nini huko instagram huyo jamaa tupe habari mkuu

nasoma tu comments, amezingua ila alisha ni block so nashindwa kuelewa nini haswa amesema ila watu wanamtukana tukana tu....
 
Yaani mojawapo ya sababu zinazofanya nimpende diamond ni hiyooooo ya kutopenda bifu na wasanii wenzie!!!ukiona msanii anabifu na diamond basi ujue huyo msanii ndio msharii!!

Mkuu anayetafuta bifu na Diamond Sio mshari tu, bifu linamnufaisha pia hivyo analing'ang'ania apate maslahi..!
 
Mkuu anayetafuta bifu na Diamond Sio mshari tu, bifu linamnufaisha pia hivyo analing'ang'ania apate maslahi..!

Hakika bifu linamnufaisha sana ndio maana haachi kumuongelea diamond!
 
Haya Asante mpwa wa Heaven on Earth. Japo sina uhakika kama nacheketuwa hapa.

Cheketuwa tu usiogope, mimi ukipanda mkweche wangu kwenye flash yangu kuna nyimbo mbili za Diamond nazipenda, ya kwanza kesho nikupeleke nyumbani na my number remix na Davido.

Sina mtimanyongo miye.
 
Last edited by a moderator:
Baada ya Maneno ya chini kwa chin kutoka kwa baadh ya watu kwamb hawa watu hawaiv Chungu kimoja...Kupitia Interview mbali mbali Diamond amekua akisema hana ugomvi na Davido mkali kutoka Nigeria amedhbitisha hlo kwa Kupost picha yake na Diamond kupitia Account yake ya Facebook na kusema ni jambo jema kuperfom tena jukwaa Moja na mkali huyo kutoka Tanzania katika tuzo za MTV!

Big up kwao #CHIBU #DAVIDO
kulipa kisasi ni haki kwa uadilifu kama alikutenga na wewe mtenge
 
Back
Top Bottom