Jimondogwe
Member
- Jun 8, 2015
- 38
- 17
Good for them...
Aibu kwa kina nanihiino
nimegundua kwamb hz bifu za Wasanii huletwa na Mashabiki
Sio Instagram jamani ni Twitter!instagram hakuna post inayosema hivyo
Hivi mtu unakurupukaje tu kuleta habari hata huna uhakika? Ndio maana hizi timu za instagram kazi kubwa ni kutusiana tu bila sbb
Huyo davido kapost hayo mamba facebook tunaambiwa instagram
Ni Facebook mamaa.... Si unaona hizo features
nimegundua kwamb hz bifu za Wasanii huletwa na Mashabiki
Baada ya Maneno ya chini kwa chin kutoka kwa baadh ya watu kwamb hawa watu hawaiv Chungu kimoja...Kupitia Interview mbali mbali Diamond amekua akisema hana ugomvi na Davido naye mkali kutoka Niger amedhbitisha hlo kwa Kupost picha yake na Diamond kupitia Account yake ya Facebook na kusema ni jambo jema kuperfom tena jukwaa Moja na mkali huyo kutoka Tanzania katika tuzo za MTV!
Big up kwao #CHIBU #DAVIDO
Lugha haijaja na jahazi hii.... hivo hivo tunaunga unga tunaelewanaulichokusudia sicho ulichokiandika!
Lugha haijaja na jahazi hii.... hivo hivo tunaunga unga tunaelewana
Mpenda sifa kama kawaa!ameona hazungumziwi sasa hivi amekuja na hili