Davido athibitisha kuwa hana bifu na Diamond

Good for them...

Aibu kwa kina nanihiino
Wale wanaotukana matusi hadi kwa kiswahili kwenye Insta account ya Davido
wale jamaaa noma kweli yani...wanadhani Davido ana akili kama MFALME wao asiye na pa kuishi
Davido hana akili ukwaju kama za Dimond na mashabiki wake low class,

Ndio maana aliwajibu my mama she is rest in heaven. Jitie wazimu kujifanya umesahau.
 
Wale wanaotukana matusi hadi kwa kiswahili kwenye Insta account ya Davido

Davido hana akili ukwaju kama za Dimond na mashabiki wake low class,

Ndio maana aliwajibu my mama she is rest in heaven. Jitie wazimu kujifanya umesahau.

Dimond=Diamond!
 
wa TANZANIA kuna kitu cha kujifunza hapo
 
Mamaaaaaaaa!!!mwaka wetu huu jamaniiiiii!!mpaka nimekosa cha kusema mimiiii.....ngoja nikavote fastaaa

Hahaaa mi mwenyewe nna furaha ajabu, MTV wamenizidishia mzuka wa kuvote
 
Matola karibu,nakuona juu hapo. Hahahahaha..
 
Last edited by a moderator:
Davido hana akili ukwaju kama za Dimond na mashabiki wake low class,

hahahahhahaha...High class haihitaji kujikwamua sana na kuongea saaaaaannnnaaaa

High class inaonekana kwa vitu unavyomiliki

Sasa huyo MFALME wenu asiye hata na makazi ya kuishi..........

Hahahahah....Ndio high class huyo?

Kijana Diamond anamiliki demu mkali East and Central Africa,Anamiliki Nyumba kumi,Anaishi kwenye mjumba mkali kule Madale....Hebu niambie high class Mfalme anamiliki nini zaidi ya pichu yake na ya demu wake?
 

Mimi siwezi kukaa kupamba asset au demu wa mwanamume mwenzangu mwenye mboro kama mimi huo ni uhanithi.

My point nimemquote Heaven on earth kwamba mashabiki wa Diamond wamemtukana sana Davido na amewapuuza hiyo ndio point yangu.

Wewe inaonekana ni mzaramo kushinda kibarazani kushindania utajili wa wengine eti kati ya Shabiby na Abood nani tajili na mwenye mabasi mengi? Ujinga huu.

Only simple mind ndio wanaweza kufanya biashara hii ya kipumbavu, who is Ally Kiba kwenye maisha yangu?

Think big and. change ur mind set, kushabikia ukwasi wa mwanaume mwenzio hapa mjini utajikuta unapigwa boro hivihivi.
 

Mpwa mbona magazeti asubuhi asubuhii..

Keep calm.... Relax mpwa wangu
 
mbona wamchokoza Mpwa wangu asubuhi yote hii lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…