Davido athibitisha kuwa hana bifu na Diamond

Mpwa mbona magazeti asubuhi asubuhii..

Keep calm.... Relax mpwa wangu

Hapana, unajuwa watu tunaoishi kwa kuuza machapisho huwa si wavivu wa kusoma wala kuandika.

Kwenye maisha yangu siwezi kureply msg na neno moja tu K. Kwakweli siyo mimi.
 
hhhhahaahahahahahah...Acha tumwone High Class Matola akituelezea U high class wake...huyu si alimwibia hela baba wa kambo huyu?

Umetoka kukata viuno kutangaza mali za wanaume wenzanko sasa unaclaim kumfahamu Annonymous? Wonders shall never end.

Go and seek for brain check up, inawezekana unaanza kudata hujielewi.
 
Last edited by a moderator:

hahahahahaha...Mkuu #HIGH CLAASS Matola mbona unatukana ulisema wanaotukana ni Low Class mashabiki wa Rais Wa Wasafi?,Wasafi Classic Baby...Au na wewe umetoka kwenye U high class unahamia kwenye class yetu?

Hayo ya kupigwa boro inaonekana uko mzoefu sana mkuu wa kupigwa boro...sie hatupo huko mkuu...hahahahahahahahahahahhaahha...Chelax meeeeen

Ukiwa Celebrity Forum Unajadili watu.....So usijifanye kwamba wewe unajadili cha tofauti saaaaaannnnnnaaaaa...ni yaleyale tu

Ally is Your King...YouR mfalme...na wewe ni Mtumwa katika ufalme wake...hahahahahahahahahha

Fact Mkuu......Ukae ukijua kuwa matajiri wanatofautiana...na ni ukweli lazima usemwe...Sasa tunajiuliza huyu Mfalme wako ni vipi chaliiii mbona hata kibaraza hana? Dimond anamiliki Demu mkali saaaaannnanannaa...huo ni ukweli...Anamiliki mijumba 10...huo ni ukweeli...Anamiliki IKulu kule madale...huo ni ukweli

Usiwe na memory MB 8....Rudia vizuri uone uli m quote nani.....?
Heaven on Earth msaidie mpwa wako
 
Umetoka kukata viuno kutangaza mali za wanaume wenzanko sasa unaclaim kumfahamu Annonymous? Wonders shall never end.

Go and seek for brain check up, inawezekana unaanza kudata hujielewi.

Mtumwa WA MFALME ......acha kubwabwaja bana.....unadhani kuwa nyuma ya keyboard ni Limitation?
 
Mpwa Heaven on Earth uwe na siku njema naona hapa kuna kula kulala anatafuta company ya jobless mwenza wa kupoteza naye muda, am chassing the money now.

Adios.
 
Last edited by a moderator:
Mpenda sifa kama kawaa!ameona hazungumziwi sasa hivi amekuja na hili
Huyu mal................ hajapata mtu wa kumtatua mishono kama alivyokuwa anatatuliwa na CHIBU ndo mana haishi kuweweseka kaona Davido kampotezea kaamia kwa Jose chamelion
 
Huyu mal................ hajapata mtu wa kumtatua mishono kama alivyokuwa anatatuliwa na CHIBU ndo mana haishi kuweweseka kaona Davido kampotezea kaamia kwa Jose chamelion

Yaani wasanii wa nje wameshajua wapi wanaweza pata wapumbavu wa kuwapigia kura
 
Mpwa Heaven on Earth uwe na siku njema naona hapa kuna kula kulala anatafuta company ya jobless mwenza wa kupoteza naye muda, am chassing the money now.

Adios.

wewe mzee wa kupaniki na kutokwa povu usijifanye unaaga hapa, yaani ukizidiwaga point unaishia kuita watu 'jobless', halafu unanishangaza kumsema mfalme wako Ali Kibaka eti he is nothing kwenye maisha yako wakati deile unakesha JF kumtolea povu, na wewe si ndo ulimuanzishiaga ile special thread? Inakuwaje leo anakuwa 'si lolote'?
 
Last edited by a moderator:

alafu wanatokea mambululaz wanadai davido ndio kamtoa diamond.
 
https://m.youtube.com/watch?v=lSpJlvEVIqg

⬆⬆⬆⬆⬆
huyu mtu ni danger daaah bonge moja la compilation, light if hater akiiona anaweza akazimia....

Nimefungua hiyo link youtube aisee watu wanashangilia mpaka mwili unasisimka, nikasoma na comments hivi kumbe hivi vibifu uchwara vimeanza siku nyingi eeh? Since nimeanza kumfahamu diamond nilikuwa namfatilia yeye kama yeye na muziki wake, I didn't mind any damn around him, kiasi kwamba sikuwahi ku notice kama kuna akina H baba wanamletea vibifu. Duuh
 
Haaahaa Matola jamani nimekusoma hapo juu, We huwa ni mtu mzuri sana kwenye thread zingine, kuna mahali huko siasani nikikusoma huwa nasema Yes this is Matola

Lakini sijui ni kwanini yakija masuala ya Diamond unashindwa kabisa kuficha Mihemko yako, yaani lazima povu likutoke tu lol!
 
Last edited by a moderator:

Sina tatizo na Diamond hanijui na wala simjuhi na naheshimu sana mtu aliyetoka familia duni akitusuwa maisha, tatizo ni wapumbavu wengine ambao hawataki tuwapende tunaowapenda.

Kama ni swala la muziki nasikiliza nyimbo za Diamond na hata kama nipo club kama nina mood ya kucheza ninacheza ikipigwa nyimbo yake. Na nina nyimbo za Diamond nazipenda sana tu huyu ni kijana wetu.

Ila mimi ni fan wa Kiba si kwamba sikubali Diamond ni msanii mzuri, nadhani tunatofautiana hapo na wanaodhani Bongo fleva ni Diamond tu kama wanavyotaka wao.

Naamini hata wewe unacheketuwa tu hapo weekend hii maana ndio nyimbo ya Taifa.
 
Last edited by a moderator:

Haya Asante mpwa wa Heaven on Earth. Japo sina uhakika kama nacheketuwa hapa.
 
Last edited by a moderator:

binadamu hawana jema, ukwanini mwingi sana.. huyo h baba anamatatizo yake na huko instagram ndio anazngua kinoma yani na mashabiki wasivyo na adabu wanampa makavu mpaka ameweka private, me alisha nipaga block long time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…