Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!


Mkuu, mbona suala la Obama & Hasheem, na P Square & Nassib ni vitu viwili tofauti, kiasi kwamba nashangaa kwanini umevitumia kwa pamoja kama vile ni vitu vinavyofanana. Kwa kuwa tupo kwenye jukwaa lenye members kama laki mbili hivi, ngoja nitumie muda mfupi kujaribu kuwekana sawa.
Suala la Obama na Hasheem, ilikuwa rahisi kwa Obama kukiri kumtambua Hasheem, kwanza anaishi kwenye nchi yake na anayoiongoza. Pili, Obama ni shabiki wa NBA na kwa Marekani karibu kila mchezaji wa NBA ni super star, isitoshe Hasheem ni mmoja wa wachezaji wawili wa kikapu aliyefanya vizuri kwenye Draft ya kuingia NBA.
Ni Tanzania tu ndio tunaomchukulia poa Hasheem, lakini kwa Marekani jamaa anapewa heshima kubwa tu, ukipata nafasi ya kuwa Marekani na ukakutana naye kwenye mijumuiko ya watu kama vile Night Clubs au kwenye viwanja vya NBA na sehemu nyingine zinazofanana nazo.
Kuhusu P Square na Nassib, ikumbukwe kwamba wakati P Square wanakuja nchini wimbo wa Number One Remix wa Nassib alioimba na Davido ulikuwa bado haujatoka, na ndio wimbo ambao kwa kiasi kikubwa ulimtangaza Nassib kwa Nigeria na Africa, hivyo wala haishangazi kusema kuwa hakuwa akimjua.
Kama unakumbuka Nassib alipata nafasi ya kuhudhuria kwenye harusi yao wakati akiwa Nigeria kwa ajili ya kurekodi video ya Number One Remix, na kwa wakati huo Nassib alikuwa akijuana zaidi na akina Iyanya na Davido pekee. Sidhani kama mchonga vinyago wa Tanzania anamjua kila mchonga vinyago wa Nigeria.
Kuhusu kufahamiana, hata Luke Shaw wa Man United alipokuwa akizungumzia na Frank Lampard wa Man City aliweka wazi kuwa hamjui Tonny Adams.
Ova
 
Wana dharau hao siku Niko na wawest Africa wakawa wana shangaa simu yangu eti na wewe Una simu nzuri tunajua Nyie ni maskini walinikeraje wanatujua kuwa si ni choka mbaya wangejua

Khaaa khaaaa khaaa ungewaongeza na vibao ili wajiongeze ,nimeona hata kwenye page ya Davido wamesema Tanzania ni Beggars tu sa nikajiuliza Africa kuna Nchi ambayo co Beggars wengine wakadiriki kuiita Tanzania Local Gvment
 

Luke shaw ndio nani
 
Kweli kaka.Kabla ya hili bifu kuna mtu aliniambia nyimbo walioimba wasanii wengi wa Afrika inayoitwa "I love my Africa".Davido na wanzie walishamjua Diamond kuwa ni mkali anaweza,hivyo waliweka watu masela wawili nyuma yake wakati alipokuwa anaimba kipande alichopewa wacheke ili wamkatishe tamaa yeye Dangote na wapenzi wake.Lakini mbongo ni mbongo tu,Diamond alichana vizuri tu.Japo alishawekewa mbinu chafu dhidi yake.Ukitaka kuamini vipande vyengine vyote vya wasanii wengine akiwemo Davido viliwekewa kivulivuli flani ili waliokuwa nyuma wanapocheka au kufanya upuuzi mwengine usiohusika wasionekane.Kwanini Diamond hawakumwekea.Zile ni mbinu chafu dhidi ya Diamond.Wasiojua hilo wanachukulia poa.Msifikirie hata siku moja Mnigeria au mtu kutoka Africa magharibi atafurahia tuzo kuja Afrika Madhariki.Lol!Waache wamseme tu ila wasimtukane,maana si baba yake wala mama yake aliyemtuma.Yale ni mawazo yake kutoka katika bichwa lake Davido.
 
Me pia love u mingimingiiiiii.
Hehehe usipontaja jina nitapita kama sio mimi vile. Ukomavu ni pamoja na kuvumiliana. Hata hapa jukwaani usipopuuza baadhi ya ishu na kuziacha zipite utajikuta unaagombana hadi na vivuli vya jf.

hahaaa kweli kabisa usemayo
umekomaa hasa kiakili ni kazi bure kugombana na anonymous
mi napenda una argue kisomi sana be blessed
 

Teh teh.....😉😉
 
Kwahiyo we ulidhani amelengwa nani?? Twende taratibu haina haja ya kuhamaki. Kwanini alivyokua anatukanwa hakuweka clear what he meant?? Kwanini bado ameendelea kupost vitu vile vile mpaka leo?? Hiyo picha anamaanisha nini??

Wastaarabu huwa hawajibu wapumbavu na ndicho davido alichofanya kutoelaborate so aliwacha na upumbavu wenu.
 
Alafu davido alishajulikana bongo hata kabla ya collabo. Kumbuka domo aliongea nae kuhusu collabo alipokuja fiesta.
 
Watu watamtetea sana Davido lakini ukweli unabaki kua tweet yake ya mwanzo kabisa ilikua na negativity na alikusudia kutunanga wa-TZ alichofanya ni kucheza na akili zetu.
Binafsi nawaunga mkono wa-TZ wenzangu wanaojitoa kwenye utumwa wa kiakili wa kutotaka kuburuzwa na hawa wa-Nigeria,kama mtu anafuatilia vizuri trend ya hii saga atagundua uyu Davido ana chuki za waziwazi mfano recently post ya IG

Kama uta-read btn the line utagundua kua toka mwanzo alikusudia nini hata comments za Nigeria ziko na mtazamo hasi waziwazi.
Naona wengi wanalalama kuhusu matusi,siungi mkono matusi ila nashangaa wa-Tz wanavyolaumu upande mmoja kua Davido katukaniwa mama ake mnasahau kuna wa-Nigeria wanatutukania mama zetu bila uwoga utadhani mama zetu wote wapo hai na wengine hata uko IG hatujawahi ku-comment,tumeitwa baboons,gays,maskini,hatujasoma,we from the jungle alafu unataka watu wakae kimya kuna ambao hawawezi kuvumilia dharau acha watusaidie kutujibia katika lugha ambayo wao wanaitumia(matusi).
 


Unapoongea na watu inabidi ujue ni watu wa aina gani! Sifa ya mtu mzima ni kujiongeza, and this is readers response, mtu anaposoma kitu fulani tunategemea akiilewe vyovyote anavyoweza, Kwanini unakazana kusema diamond kakosea kwanini usianze kumkosoa kwanza davido? Unahisi ni kwanini tusiamini hizi ni chuki za wazi kwa Diamond? ??? Mtu mwenye busara angeanza kumkosoa Davido kwanza ndipo aje kwa Diamond! I am safe to say that Mrembo by Nature hampendi ndomo na hii inathibitishwa na comment zako.
 
Last edited by a moderator:

Achana nae huyo tumemdharau sana kwa kumtetea huyo boko haram wa kinaijeria huyo davido mwenyewe wanaigeria wanamchukia sana kwa madharau yake
 
Last edited by a moderator:


Mtu ukimnyenyekea sana in the name of friendship seeking ipo siku atakwambia geuka na utageuka kweli upigwe dudu! I wonder hii inferiority tumeitoa wapi!!! Kiasi cha kudhani kama diamond asingefanya collabo na davido basi asingeweza kufika mbali hell noooooo, kama aliandikiwa angefika tu kwa namna yoyote, hii ndo inawafanya wa bongo wengi kupotea kwenye gemu kisa kumwabudu mtu aliyewahi kukusaidia hata kama anakupotosha, ifikie time tujiamini tuamini tunaweza! Pia mimi huwa siungi mkono tusi akitukanwa yeyote yule lakini cha kushangaza matusi yaloonekana ni ya Wabongo tu lol! Wanaigeria wametukana wamesiriba wawezavyo, so hapa kama ni kukemea matusi inabidi tukemee matusi kwa wote! Double standards is a shit!
 
Kwahiyo we ulidhani amelengwa nani?? Twende taratibu haina haja ya kuhamaki. Kwanini alivyokua anatukanwa hakuweka clear what he meant?? Kwanini bado ameendelea kupost vitu vile vile mpaka leo?? Hiyo picha anamaanisha nini??

Ebu ona mwenzake wizkid anavyo show love anaga malingo na chuki za kiboya boya kama yy mtu mfupi davido

Poor davido 🙈Lol in your voice
 

Attachments

  • 1418136020968.jpg
    29.7 KB · Views: 220
Last edited by a moderator:
Ebu ona mwenzake wizkid anavyo show love anaga malingo na chuki za kiboya boya kama yy mtu mfupi davido

Poor davido Lol in your voice

huyo wizkid na davido hazipandi walishakuwa na bifu na kutukanana matusi ya wazi pote fb na twitter,usimwone hivo ni zaidi ya mswahili.ndo kama kiba na domo,ila wao bifu yao hawafichi wanatukanana live
 
ameeeen
waache watukane dalili ya mpumbavu yeyote ni kuruhusu emotions zitwale busara
yeyote anayetukana tukana hovyoo ni mpumbavu

Mwisho anayeonekena mpumbavu ni anayerespond vibaya.ngoja watukane weeeeeeee ila Sasa watz wote tunaonekana mbumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…