Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

sentence ya davido ukiichek vizuri ni tata..kuna kitu hakijakamilika ili kuondoa utata huo so its okay kwa baadh ya watu kutafsri watavyotafsiri...mie naona alikuwa anamlaumu big kuhusu shindano na mshindi alivyopatikana anahisi kuna dalil za udanganyifu
 
Nigerians think kwamba matokeo yamechakachuliwa, wanahisi South Africans na nchi zote za SADC zimeungana kuwa toa kwenye entertainment Industry.

Tokea tuzo za Channel O last weekend na leo BBA

attachment.php

Diamond's response:

attachment.php

B4R4skICUAI13iG.jpg:medium

yap davido naona amewaattack watu wengine na si Tanzania thou imetugusa kwa namna moja ama nyingine
 
Shosti umeua!! You nailed it wanasema wenyewe!

Kampeni inaendeshwa insta na tweeter ya kumdisi davidoo kwa kumu unfollow wakati haohao walikuwa kimya kipindi cha escrow.

Monica Jose Mara, DJ choka, jestina acheni kukuza chuki kwa swala Dogo km hilo. Hela zimekombwa mbona hamkuhamasisha zirudishwe? Baba eve collection (mtu wenu IG ) si ndio mwizi mkuu kwanini msidisi yeye? Mili mikubwa akili kashata
 
ukifuatilia hata forums za naijeria wanamkubali Idris na kumponda Toya kwamba alikuwa na kiburi hajui kuhandle girls,ingawa wengi wanalalamika hii kitu ipo regional zaidi kwamba East africa wanaongea lugha moja na kwnye kura lazima wabebane.
 
Jamani mbona nimesikia hio they have cheated again alikuwa anamjibu diamond na sio alikuwa anaandika kuhusu big brother?
 
Ukitaka kujua alikuwa serious au lah aungalia maongezi yao! hata Mimi nilifikiri hivyo! Diamond kanifurahisha kwa statement yake ya kijasiri baada ya kuchukua tunzo nyingine kwao

Diamond kakosea angepiga kimya as he always do sa sijui ndo anatafuta kiki sijapenda
 
Kampeni inaendeshwa insta na tweeter ya kumdisi davidoo kwa kumu unfollow wakati haohao walikuwa kimya kipindi cha escrow.

Monica Jose Mara, DJ choka, jestina acheni kukuza chuki kwa swala Dogo km hilo. Hela zimekombwa mbona hamkuhamasisha zirudishwe? Baba eve collection (mtu wenu IG ) si ndio mwizi mkuu kwanini msidisi yeye? Mili mikubwa akili kashata

Na kipindi kaja bongo kaidharau mahakama yetu na kupiga show watu walikua kimya sa iv ndo wanajifanya wazalendo.
 
Embu jaribuni kum-unfollow huyo davido na badala yake mfollow Idris
 
Na escrow mngetokwa povu hivi km la kumdidi davidoo tungekuwa mbali nchi hii na hela zingesharudi

Sidhani kama Davido amemaanisha kwa dhati hiki alichokisema.
Amesema kiutani tu na hiyo ni lugha ya kumkubali mtu kwa kum-chalenge.
Wabongo wanatokwa na povu utadhani huyu Jamaa kaua.
Davido ni mwanamuziki mzuri, nadiriki kusema hata kuliko Diamond.
Diamond azidi kukaza buti, asibweteke.
 
Back
Top Bottom