Nigerians think kwamba matokeo yamechakachuliwa, wanahisi South Africans na nchi zote za SADC zimeungana kuwa toa kwenye entertainment Industry.
Tokea tuzo za Channel O last weekend na leo BBA
Diamond's response:
Shosti umeua!! You nailed it wanasema wenyewe!
Ukitaka kujua alikuwa serious au lah aungalia maongezi yao! hata Mimi nilifikiri hivyo! Diamond kanifurahisha kwa statement yake ya kijasiri baada ya kuchukua tunzo nyingine kwao
Sorry, Davido ndio nani?
Kampeni inaendeshwa insta na tweeter ya kumdisi davidoo kwa kumu unfollow wakati haohao walikuwa kimya kipindi cha escrow.
Monica Jose Mara, DJ choka, jestina acheni kukuza chuki kwa swala Dogo km hilo. Hela zimekombwa mbona hamkuhamasisha zirudishwe? Baba eve collection (mtu wenu IG ) si ndio mwizi mkuu kwanini msidisi yeye? Mili mikubwa akili kashata
Mwanamziki wa kinigeria,ameimba bongo fleva tehe tehe na diamond,ingia youtube uone number one remix ya diamond,amemshirikisha huyu mwanamziki.
Na escrow mngetokwa povu hivi km la kumdidi davidoo tungekuwa mbali nchi hii na hela zingesharudi
this is bullshit, kwani wao wana nini mpaka washinde kila kitu??? poor them
Na escrow mngetokwa povu hivi km la kumdidi davidoo tungekuwa mbali nchi hii na hela zingesharudi