Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

It's almost the same... YES, Davido didn't say WE cheated BUT Big did and if that is so, it means Idris didn't deserve to win coz' it's the result of CHEATING... na hawa ukifuatilia maoni ya Naijas, unakuta ndicho hasa wanachomaanisha!

Hata hivyo, Diamond hakutakiwa kujibu the way alivyojibu coz' it's like amejishtukia! Kama aliona ni lazima kujibu kwa staili ya vijembe basi alitakiwa kujibu:"Omg, They have Cheated again....!"
 
Jamani mbona nimesikia hio they have cheated again alikuwa anamjibu diamond na sio alikuwa anaandika kuhusu big brother?

Aliandika baada ya matokeo ya Idris. 40mins later ndio Diamond akashinda.... So aliandika kuhusu BBA, na chatting zake ni kuhusu BBA
 

Kweli afadhali umemuambia ajikinge na tezi dume haaaaaa
 
Ukitaka kujua alikuwa serious au lah aungalia maongezi yao! hata Mimi nilifikiri hivyo! Diamond kanifurahisha kwa statement yake ya kijasiri baada ya kuchukua tunzo nyingine kwao

yaani ndo nimeielewa statement ys chibu...
 

yap!!!you are right!!!feeling sorry for him!!poor davido
 

vile vile alivojibu diamond ni sawa...jamaa kasema " again " maana yake kuna pahala palichitiwa kabla
 
Stupid Nigerians think ONLY they have a right to win and shine!!eti ''they've refused TO GIVE IT to a Nigerian!!!!''.....come on people,are you serious??so all your previous wins were planned and you were GIVEN!???STUPID,BITTER,SOUR LOOSERS!

Thank God their ---- national football team is now a shame!!these bitter,proffessional conmen should win nothing!and as for Davido....i've never been your fan!you are just very ordinary,you cant dance and YOU WERE ONLY GIVEN THOSE AWARDS!
 

kama hivyo ndivyo why iwe Diamond amemjibu Davido na isiwe kua amemjibu Biggie!???basi na Chibu pia kamjibu Biggie na sio Davido so tusianze sijui kiki oooh upuuzi gani!
SIPENDI KABISA MGENI ANAKUJA KWETU ANAANZA KULETA DHARAU,...MMBAAV!
mapungufu yetu tutanyooshana wenyewe ndani,sio kile kibushuti kinakuja kututusi eti si tume cheat...maana yake we are good for nothing..hata kupiga kura hatuwezi!???nyau sana yule dogo Davido!
 
vile vile alivojibu diamond ni sawa...jamaa kasema " again " maana yake kuna pahala palichitiwa kabla
Hilo la "again" nimeliona na in fact, ndicho alichomaanisha Davido kwamba ni another cheating! Hata hivyo, kwavile Davido amesema "They Cheated.." kuonesha kwamba walio-cheat ni ChO na BBA (kwa maana wanawahujumu wa-Naija), basi good answer ilikuwa ni "They Cheated Again..." kuonesha kwamba, ikiwa ushindi wa Idris, and probably Chibu umetokana na wa-South Africa (ChO & BBA) ku-cheat ili kuwahujumu wa-Naija, what about ushindi wa jana wa Chibu uliotolewa na wa-Naija wenyewe... Did they cheat so as to sabotage their fellow Naijas or?!
 
Ila i don think kama Davido was serious,kwenye tweet yake kuna ka icon ka kuonea Aibu anachokisema....i believe he wasn't serious

Ni utani hata ukiangalia punctuation ya """. Nashangaa watu wanapanic...Utani ni kama vile mtu kakushinda kitu then unajoke kuwa say aah mmebebwa something like that..Watu wamepanic wameichukulia kivingine
 
Hapa bila Nyani Angabu kuja kutafsiri maana ya kilichoandikwa tutashindana mpaka kesho na kulaumu pasipokujua hayo maneno mafupi kiufundi yanamaanisha nini? tofauti na tunavyotohoa moja kwa moja kwenye kiswahili
 
Suala la kiki umelitoa wapi? Badala ya kuja na jazba jaribu kutumia logic....
Davido anasema "They Cheated....!" which means matokeo yamekuwa tampered! Sasa kwa uelewa wako ni nani anayeweza ku-temper matokeo kati ya Watanzania/Chibu/Idris na ChO/BBA?

Kwa jinsi ilivyo, Wa-Nigeria wanaona ni kama wanahujumiwa na waandaaji wa SA kama njia ya kuwashusha! Is like hapa TZ baadhi ya watu wanapoilaumu Clouds kwamba inawahujumu baadhi ya wasanii! Na huo ndio mtazamo wa Nigeria wengi baada ya kutoka tuzo za Channel O... wanaamini kuna njama za kuwashusha na ndio maana hata ukiangalia wac
hangiaji wa Davido, wanatupa mashuti yao kwa BBA!!!

Kutokana na hilo, ndio maana nikasema jibu muafaka kwao lilikuwa "They Cheated again....!"Kuonesha kwamba ikiwa ushindi wa Chibu na Idris umetokana na ChO na BBA kuwahujumu wa-Naija, what about tuzo zilizotolewa na Wa-Nigeria wenyewe? Ina maana na wao wame-cheat kkuwahujumu wa-Naija wenzao or what?

Kuhusu what if Chibu nae kamjibu Biggie the answer is NO coz' Chibu amesema "We've Cheated Again...!" kwahiyo kama kudanganya ni sisi tumedanganya lakini hata akili za kawaida hazioneshi ni namna gani tunaweza kudanganya wakati kura zinakuwa monitored na wengine! Jibu la Chibu lingekuwa sahihi endapo yeye angekuwa ndio ama Biggie au ChO huku ikimaanisha, kwamba ikiwa "We Cheated...!" what about hiyo Nigeria..."We Cheated, right!"
 
Sijui kingaringwe vzr ila jana hiyo hiyo ndan ya nigeria kulikuwa na tunzo zingine ambazo diamond ameshinda so nilichomuelewa mm diamond anamjibu davido kuwa kama vile za ch o na bba wamedanganya na hii ya nigeria kupewa yeye tunzo wamedanganya pia,huku south hatukustahili je na huku kwenu pia waongo?mwisho wa cku muandishi ndiye anaejua alichokusudia wasomaje wataunganisha atakavyoelewa yeye au hisia zake zitakavyomtuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…