Sijui ndio huo?fanya kunitumia kwanza huo..lol
Ujue hua sifuatilii ngoma zake kihivyo ila huo 'mmoja' ndio niliupenda.
Hahahaaaa eti club za pombe za kienyeji!!!
Uwiiiii....nimecheka sana!
Watu wengine wakishajijua wamechemka ndo huwa wanafanya hivyo. Muelewe tu kashajijua tayari.Wewe jamaa ukiamua kusisitiza jambo tu hodari,hata ambalo haliingii akilini utalitetea tu!
Wala usijali zitakuja za kutosha tu. Dogo anajua sana, Davido huwa anaumwa akisikia huyo dogo anaachia ngoma, kama hapa Bongo Ali Kiba anavyomtia njaa dogo.
Ova
Watu wengine wakishajijua wamechemka ndo huwa wanafanya hivyo. Muelewe tu kashajijua tayari.
Ova
Wamemtukana zari haijatosha,wamehamia kwa davido!!
Asilimia 99 ya watanganyika wanaotumia Instagram ni mamburula na masenge!!
Hapana cha maana huko mtandaoni.
Songea kuna raha na maisha mazuri kupita Dar
Wewe jamaa ukiamua kusisitiza jambo tu hodari,hata ambalo haliingii akilini utalitetea tu!
Watu wa Dar mnadharau sana watu wa mikoani. Wakati mnashindia kula miguu na utumbo wa kuku.
Watu wa Dar mnadharau sana watu wa mikoani. Wakati mnashindia kula miguu na utumbo wa kuku.
Songea kuna raha na maisha mazuri kupita Dar
usemayo ni kweli kuna watu mishamba sana hata humu jf ipo kidogo tuuu
mitusi hiyooo mi mtu yeyote anaharakia kutukana namdharau sana
Watu wa Dar mnadharau sana watu wa mikoani. Wakati mnashindia kula miguu na utumbo wa kuku.
Watu wa Dar mnadharau sana watu wa mikoani. Wakati mnashindia kula miguu na utumbo wa kuku.
Songea kuna raha na maisha mazuri kupita Dar
Songea ipi hiyo kaka yenye maisha mazuri kuliko Dar? Au ulikuwa unamaanisha nini? Pengine sijaelewa maana uliyoikusudia kuhusu maisha mazuri.
Ova
davido ndo nani?