Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Sijui ndio huo?fanya kunitumia kwanza huo..lol
Ujue hua sifuatilii ngoma zake kihivyo ila huo 'mmoja' ndio niliupenda.
Wala usijali zitakuja za kutosha tu. Dogo anajua sana, Davido huwa anaumwa akisikia huyo dogo anaachia ngoma, kama hapa Bongo Ali Kiba anavyomtia njaa dogo.
Ova