Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
wabongo kwa kuunganisha stori....wakaonganisha na tuzo za channel O
wenyewe tunajua kutambaa na dots
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wabongo kwa kuunganisha stori....wakaonganisha na tuzo za channel O
Happy uv figured that early!I didn't know you one of those who worth to be ignored... why should I go through my posts while I know where I stand between the twos?
my anticipation was right... you worth to be ignored coz' what you wrote doesn't match what I wrote... oh! No, u're right... I've figured it early that you worth to be ignored! Now consider yourself u're officially in ignored user list!!Happy uv figured that early!
hivi huyo zuzu Davido ameimba nyimbo gani?
my anticipation was right... you worth to be ignored coz' what you wrote doesn't match what I wrote... oh! No, u're right... I've figured it early that you worth to be ignored! Now consider yourself u're officially in ignored user list!!
Suala la kiki umelitoa wapi? Badala ya kuja na jazba jaribu kutumia logic....
Davido anasema "They Cheated....!" which means matokeo yamekuwa tampered! Sasa kwa uelewa wako ni nani anayeweza ku-temper matokeo kati ya Watanzania/Chibu/Idris na ChO/BBA?
Kwa jinsi ilivyo, Wa-Nigeria wanaona ni kama wanahujumiwa na waandaaji wa SA kama njia ya kuwashusha! Is like hapa TZ baadhi ya watu wanapoilaumu Clouds kwamba inawahujumu baadhi ya wasanii! Na huo ndio mtazamo wa Nigeria wengi baada ya kutoka tuzo za Channel O... wanaamini kuna njama za kuwashusha na ndio maana hata ukiangalia wac
hangiaji wa Davido, wanatupa mashuti yao kwa BBA!!!
Kutokana na hilo, ndio maana nikasema jibu muafaka kwao lilikuwa "They Cheated again....!"Kuonesha kwamba ikiwa ushindi wa Chibu na Idris umetokana na ChO na BBA kuwahujumu wa-Naija, what about tuzo zilizotolewa na Wa-Nigeria wenyewe? Ina maana na wao wame-cheat kkuwahujumu wa-Naija wenzao or what?
Kuhusu what if Chibu nae kamjibu Biggie the answer is NO coz' Chibu amesema "We've Cheated Again...!" kwahiyo kama kudanganya ni sisi tumedanganya lakini hata akili za kawaida hazioneshi ni namna gani tunaweza kudanganya wakati kura zinakuwa monitored na wengine! Jibu la Chibu lingekuwa sahihi endapo yeye angekuwa ndio ama Biggie au ChO huku ikimaanisha, kwamba ikiwa "We Cheated...!" what about hiyo Nigeria..."We Cheated, right!"
Loh!kwa hiyo hata nyimbo zake hujawahi kuzipenda?...lol
Hahahahaha... Haswaa! Hazijawahi kunikamata kabisa nyimbo zake.
Ova
Chibu na Ally K,wewe mwenyewe ni very good advocate on that!
Yaani kuna watu wapumbav'u sijapata kuona... mashabiki wa Tanzania ni wa hovyo sana! Wamewachonganisha Chibu na Kiba, wakaja Chibu na Wema na sasa wanataka kuchonganisha na wasanii wa nje! Melissa did the right thing account yake kuiweka private sasa cjui ilikuaje akaamua kuiachia manake wabongo walivyo watu wa hovyo, hata yule watakuja kumchenjia siku moja!
Ayeeeee, Ayeeeeeee!
Club gani utaingia bila kulisikia hili song? Mnafki.
Hiyo tweet ya Davido inalenga BBA na sio Tuzo wabongo tuache ujuaji
Mimi nazipenda maana zinachezeka,hasa Lamborghini.....
Acha kabisa!
Hahahaaa! Mimi namsubiri ampite Wizkid kwanza.
Ova
Afu wabongo keeling nyoko, mtu anakandia bila ya woga n hofu afu mtu asema eti Davido hayupo serious kwenye maneno yk,keeling viongozi wenu ndivyo walivyowajenga kimantiki
It's almost the same... YES, Davido didn't say WE cheated BUT Big did and if that is so, it means Idris didn't deserve to win coz' it's the result of CHEATING... na hawa ukifuatilia maoni ya Naijas, unakuta ndicho hasa wanachomaanisha!
Hata hivyo, Diamond hakutakiwa kujibu the way alivyojibu coz' it's like amejishtukia! Kama aliona ni lazima kujibu kwa staili ya vijembe basi alitakiwa kujibu:"Omg, They have Cheated again....!"
Labda huko kijijini kwenu,huku mjini hakuna wazee...lol Matola
Huyo Wizkid kuna wimbo wake mmoja naupenda sana ila nimeusahau.
Kwangu mimi Davido is the best!