Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

Chibu kachukia haswa... Hii
ndo comment yake kule fb...

Instead of artists being role models and
agents of unity, bringing our countries together to build a strong,
prosperous peaceful continent, Africa. We are the first to instigate
hate and regionalism. In this manner are we really building Africa? What
is our fate? Continuing divide and rule inherited from the colonial
era... Anyway, Happy Independence day Tanzania.....

( Badala ya wasanii kuwa ndio Mfano bora
wa kuweka karibu Nchi zao na kujenga Africa yenye upendo na Amani...eti
wao ndio Wanakua chanzo cha Kutenganisha nchi zao...Namna hii kweli
tutajenga Africa? Anyway, Happy Independence day
Tanzania....)

Hongera sana nawe umeanzisha thread.
 
Davido na Diamond wote washamba tu!! Msanii hautakiwi kupost ujinga ujinga kwenye social media,social media ni kwa ajili ya kutangaza kazi tu na si ujinga ujinga.
 
Kiroho safi tu, kingereza cha kuongea na cha kusoma na kuandika kuna tofauti kubwa sana huenda nisieleweke hapa.

Mimi nimepata mwanga kidogo kuhusu hiyo tweet ya Davido baada ya Mrembo by Nature kufafanuwa na nashindwa kuingia deep kwa sababu mimi hata maana ya BBA sijui ni nini na wala hata mshindi anapatikanaje pia sijui na isitoshe mimi kwangu kwa maoni yangu BBA ni upuuzi tu na ushetani unaorasimishwa kinguvu sawa na tunavyolazimishwa kutambuwa haki za mashoga.

Therefore kwangu either wamechit au hawajachit hiyo kitu haina impact yoyote kwangu.

Last but list kutokujuwa kingereza siyo ulemavu Diamond ametusuwa kimaisha kuliko Maprofesa wengi tu wa chuo kikuu.

Alafu bwana Matola ina maana davido haruhusiwi kuandika maoni yake (yawe kipostive au kinegative, au kiutani) juu ya shindano la Africa kisa tu watz watajihisi? Guys tukue kiupeo kwa kifupi Kama hujatajwa jina au nchi (kwa context hii) huna haja ya kujistukia. Ni yale ya uswazi taarabu inapigwa kistarehe nyumba ya pili inaanzisha mtiti.
 
Last edited by a moderator:
Yaani tunaonekana wapumbavu... kutukana kiswahili utadhani anaelewa... sijui https://jamii.app/JFUserGuide your mother na mama ake keshafariki....

Huyo Choka kumbe ndio tabia yake
Choka kimeo huyo,,yaani mi huwa namuona kama kubwa jinga afu kujifanya anajua sasa kumbe kimeo.
 
Nchi yetu imeshafeli kama Taifa na mtu mmojammoja hata Membe kwenye sakata la meno ya Tembo amelihutubia bunge kwamba wazungu wanatuonea "gere".

Hivyo usiwashangae wale wa vibundle vya promosheni vya mb50 kumponda Davido without know how.

Naomba nikusahihishe...tanzania ni weak state ila haijafeli. Somalia ndio tayari ilishafeli. Tz isipokuwa makini inaweza kufeli siku si nyingi
 
na mi simo kwa wapumbavu km wamezaliwa vichochoroni wasio na shukrani wenye mitusi km wanakharamu

Yani ni sheeedah. Huko mtaani inabidi muwe makini unaweza shangaa siku sura yako iko humu au mitandaoni inajadiliwa kwa matusi
 
Alafu bwana Matola ina maana davido haruhusiwi kuandika maoni yake (yawe kipostive au kinegative, au kiutani) juu ya shindano la Africa kisa tu watz watajihisi? Guys tukue kiupeo kwa kifupi Kama hujatajwa jina au nchi (kwa context hii) huna haja ya kujistukia. Ni yale ya uswazi taarabu inapigwa kistarehe nyumba ya pili inaanzisha mtiti.

wewe dada nakupendaga una notisi nzuri sana
 
Last edited by a moderator:
Yani ni sheeedah. Huko mtaani inabidi muwe makini unaweza shangaa siku sura yako iko humu au mitandaoni inajadiliwa kwa matusi

yaani kabisa umelelewa ukaleleka unamtukana mtu hunijui sikujui...?!!!
ni mehenzi tuuu ndo anafanya hivyo
 
Kweli kabisa lazima kufikiri kabla ya kutenda sometimes ushauri unahitajika Davido kamsaidia sana kujulikana Africa tatizo baadhi Ya watu wanaweka ushabiki maandazi kwenye vitu ukurupukaji na matusi ndio imekua fashion sifa za kijinga mjasiri aachi asili Nigeria bado ni muhimu kwa music ya kibongo

Yani siku tususiwe na ngololo yetu ndo tutapata akili. Nyimbo za diamond kibao zilikuwepo why ile collabo na davido ndo ishinde tuzo kibaoooo nje ya Tz??? Watu watumie common sense ili mwisho wajue kuweka heshima kwa waliowainua (Mungu pamoja na wanadamu).

Ni aibu Sana mijitu Kama Monica (anayeaminika kipanga hapa mjini) eti nae alijibu hii movement. Nimempuuza bureeee
 
Status ya Davido aliyoandka ''N they cheat again lol!'' imetafsiriwa vibaya na watanzania na kuonesha kipaji chao cha matusi WAKAMTUSI MAMA YAKE.

Diamond ndie mtu wa kwanza anatakiwa kulaumiwa kwani alikurupuka baada ya kuandika ''Yeah we cheat again same night'' Yeye ndiye aliyewafanya watu wamshambulie DAVIDO kuwa alimaanisha sisi tumecheat kupata tuzo.

UKWELI NI HUU, Davido aliandka vile juu ya tukio la CRIS BROWN NA mpenzi wake KARUUCHE ambao walidanganya duniani wameachana na kusameheana.

DAVIDO aliona kama drama! akaona wametudanganya tena kwani si mara ya kwanza kutengana kama wana bifu na kurudiana.

Ukifuatilia twiter utaona BROWN na KARUUCHE wakitukanana juu ya ishu ya DRAKE huku still wanapendana na bado wapenzi.

PILI sisi hatutoi tuzo wala hatupangi big brother kama Davido mnasema aliongelea juu ya ushindi wa big brother basi haiwahusu ninyi inawahusu big brother ambao ndio wanaendesha mchakato wa mshndi.

NDIO MAANA KASEMA THEY CHEAT AGAIN wao BBA si nyie Nigeria wamekosa ushindi karibu miaka 5 mfululzo.DIAMOND JIFUNZE MAISHA NI WATU.

Ww unamtetea Davido saana !! Wakati ujui tabia zake
Alishawahi kutweet ujinga kuhusu weezy kid
After CHOAMVA akasema "kuna watu wanafurahia ushindi lakini awakustahili"
After BBA akatweet "N they cheat again 🙈lol "
Mukamtetea na munaendelea kumtetea !!

Sasa kapost tena " Tayo kazawadiwa Pesa nyingi na billionare wa kinaija ambazo ni pesa nyingi kuliko Pesa alizoshinda Idris "

Hivi unapataje nguvu ya kumtetea Mtu kama uyo ?
Penden vya kwenu na mtetee vinavyowahusu .
Davido alimaanisha alichoandika🚶🚶🚶🚶
 
Attachments

  • 1418125294051.jpg
    1418125294051.jpg
    41.7 KB · Views: 170
Yani siku tususiwe na ngololo yetu ndo tutapata akili. Nyimbo za diamond kibao zilikuwepo why ile collabo na davido ndo ishinde tuzo kibaoooo nje ya Tz??? Watu watumie common sense ili mwisho wajue kuweka heshima kwa waliowainua (Mungu pamoja na wanadamu).

Ni aibu Sana mijitu Kama Monica (anayeaminika kipanga hapa mjini) eti nae alijibu hii movement. Nimempuuza bureeee

Nyimbo iliyoshinda tuzo ni my number one original version sio remix aliyoimba na Davido
 
Kweli kabisa lazima kufikiri kabla ya kutenda sometimes ushauri unahitajika Davido kamsaidia sana kujulikana Africa tatizo baadhi Ya watu wanaweka ushabiki maandazi kwenye vitu ukurupukaji na matusi ndio imekua fashion sifa za kijinga mjasiri aachi asili Nigeria bado ni muhimu kwa music ya kibongo

Davido hajamsaidia Diamond.. Wamesaidiana, Davido through that remix imeongeza soko lake La East Africa. Ndio maana unamwona hata huyo Davido alienda South kwa Mafikizolo. Sio kwamba he is bigger its just strategy ya kuongeza soko. Wizkid is way better than Davido lakini hujiulizi why davido anapata show Africa zaidi ya Wizkid?? Yeye kafanya colabo kila pande ya Africa
 
Nyimbo iliyoshinda tuzo ni my number one original version sio remix aliyoimba na Davido

Anyways davido ametubeba tuoende tusipende. Kuna watu wa Nigeria Ghana n.k waliojua hiyo number one original kupitia ile collabo... Okay hata kama sio hiyo domo alichojibu hakioneshi ukomavu... Shukrani hata kwa kidogo
 
Dimondi amekuwa karibu na huyo Davido na anamjua kuliko sisi tunavyomjua.. Yawezekana anadeserve kujibiwa hivo, who knows?? Kaonesha chuki na dharau ya wazi kwa Watanzania kwanini tumchekee?? Lakini pia si busara kumtukana, watu wangemu ignore tu
 
Davido hajamsaidia Diamond.. Wamesaidiana, Davido through that remix imeongeza soko lake La East Africa. Ndio maana unamwona hata huyo Davido alienda South kwa Mafikizolo. Sio kwamba he is bigger its just strategy ya kuongeza soko. Wizkid is way better than Davido lakini hujiulizi why davido anapata show Africa zaidi ya Wizkid?? Yeye kafanya colabo kila pande ya Africa

Kamsaidia sana penye ukweli tuseme hata nchi nyingine wakiulizwa diamond mpaka wam refer yule aliyeimba na Davido ndo imemsaidia sana akajulikana almost Africa nzima kwenye collabo lazima tu appreciate collaboration yao imewasaidia wote hasa hasa kwa daimond
 
Back
Top Bottom