sure mkuu aliwaeleza watu kama keko wa uganda,redsan wote hawa waliiblem sonyKuna jamaa alionya hapa hiyo dil ya kiba na sony alishambuliwa sana kuna uzi humu
Jamaa alisema sony huwa wanauwa wasanii kirahisi jamaa wakamuona team flani ana wivu nimemsahau jina
sure mkuu aliwaeleza watu kama keko wa uganda,redsan wote hawa waliiblem sony
Let him be! Hata ukiwa msiba itakuaffect au kukuongeazea nn, Wabongo bhana Kazi kuwaza negativity tu kwa wenzenu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Vip huyu king mswati wa kwetu si itakuwa msiba kabisa
Let him be! Hata ukiwa msiba itakuaffect au kukuongeazea nn, Wabongo bhana Kazi kuwaza negativity tu kwa wenzenu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nakumbuka Sony waliwahi kumsainisha Nakaaya Sumari, habari zilivuma sana kwamba Nakaaya ndo kaagana na umaskini. Lakini sijajua walimwaganaje, sijaju kama Nakaaya ana hamu tena na muziki.Kuna jamaa alionya hapa hiyo dil ya kiba na sony alishambuliwa sana kuna uzi humu
Jamaa alisema sony huwa wanauwa wasanii kirahisi jamaa wakamuona team flani ana wivu nimemsahau jina
Nakumbuka Sony waliwahi kumsainisha Nakaaya Sumari, habari zilivuma sana kwamba Nakaaya ndo kaagana na umaskini. Lakini sijajua walimwaganaje, sijaju kama Nakaaya ana hamu tena na muziki.
Kaazi kwelikweli. Sijajua alizinguana nini na Sony. Bora amgesaini na EMI, ambayo ina historia ya kuwa handle vizuri wanamuziki wa AfrikaNakaya anatetea ndoa kwa sasa mkuu chali mbaya
Kaazi kwelikweli. Sijajua alizinguana nini na Sony. Bora amgesaini na EMI, ambayo ina historia ya kuwa handle vizuri wanamuziki wa Afrika
Tatizo mahaba yakizidi ni shida nakumbuka uzi ulikua na facts za kutosha ila watu walipinga haya sasa yameanza kutokea[emoji41]Kuna jamaa alionya hapa hiyo dil ya kiba na sony alishambuliwa sana kuna uzi humu
Jamaa alisema sony huwa wanauwa wasanii kirahisi jamaa wakamuona team flani ana wivu nimemsahau jina