Davido hana furaha na label yake ya Sony

room

Member
Joined
Dec 28, 2015
Posts
61
Reaction score
102
Ni miezi 9 sasa tangu asaini mkataba na Sony Music lakini Davido hajatoa wimbo mpya.
Mashabiki wamechoka kusubiri, yeye mwenyewe amepagawa na mambo yamekuwa si mambo tena!

Kulikuwa na mipango ya kuachia kazi mpya Ijumaa hii, September 9, lakini imeahirishwa tena na staa huyo uvumilivu umemshinda.

Tetesi kutoka Nigeria zinadai kuwa Davido hana furaha tena na uongozi wa label yake. Na sasa ameamua kuonesha masikitiko yake kwenye snapchat yake

Chanzo: Bongo5
 
Kuna jamaa alionya hapa hiyo dil ya kiba na sony alishambuliwa sana kuna uzi humu

Jamaa alisema sony huwa wanauwa wasanii kirahisi jamaa wakamuona team flani ana wivu nimemsahau jina
 
sure mkuu aliwaeleza watu kama keko wa uganda,redsan wote hawa waliiblem sony
 
Team mbaya sna ngoja tusubir tuone na kweli hao wote wamakufa kifo kibaya redsan
 
Yule king wetu wa k/koo anaona aibu tu kulia hadharani, lakini na yeye maumivu keshaanza kuyapata.
 
Vip huyu king mswati wa kwetu si itakuwa msiba kabisa
Let him be! Hata ukiwa msiba itakuaffect au kukuongeazea nn, Wabongo bhana Kazi kuwaza negativity tu kwa wenzenu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Kuna jamaa alionya hapa hiyo dil ya kiba na sony alishambuliwa sana kuna uzi humu

Jamaa alisema sony huwa wanauwa wasanii kirahisi jamaa wakamuona team flani ana wivu nimemsahau jina
Nakumbuka Sony waliwahi kumsainisha Nakaaya Sumari, habari zilivuma sana kwamba Nakaaya ndo kaagana na umaskini. Lakini sijajua walimwaganaje, sijaju kama Nakaaya ana hamu tena na muziki.
 
Nakaya anatetea ndoa kwa sasa mkuu chali mbaya
 
Kaazi kwelikweli. Sijajua alizinguana nini na Sony. Bora amgesaini na EMI, ambayo ina historia ya kuwa handle vizuri wanamuziki wa Afrika
 
Kuna jamaa laieleza vizur hapa kwamba sony wanawasanii wengi sana inakuwa vigumu kuwa control hapo ndo tatizo lilipo
 
Hao Sony africa wahuni nakumbuka kipindi cha Mkasi kilimuhoji nakaaya Sumari alilalamika jamaa hawako serious na kazi na wanakufelisha kimuziki kabisa akiongea kwa uchungu kweli siku hiyo
Mie pia nilikuwa mchangiaji nikasema kiba asije ingia choo cha kike
 
Kuna jamaa alionya hapa hiyo dil ya kiba na sony alishambuliwa sana kuna uzi humu

Jamaa alisema sony huwa wanauwa wasanii kirahisi jamaa wakamuona team flani ana wivu nimemsahau jina
Tatizo mahaba yakizidi ni shida nakumbuka uzi ulikua na facts za kutosha ila watu walipinga haya sasa yameanza kutokea[emoji41]
 
Aaah
Sasa kama Davido wanampoteza, huyu kijana wetu hapa bongo itakuwaje!!!?
 
Back
Top Bottom