Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,572
Davido alivyopanda kuchukua Tuzo aliwaita wasanii wenzake toka Africa lakini Diamond hakupanda sijajua ni kwanini?
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Kawaida kwa Wabongo.....hata Dokita Sina Laha aligomea show ya MK.W.ERE...