Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Juzi hapo 50 cent naye ametoa dongo kwa rose ambalo linafanana na maoni yanguMbona umemkandia sana RickRoss mzee, kakuibia mke? [emoji28][emoji28], RickRoss amedrop ndio ila sio kwa kiwango unachosema, still wamarekani wanamfatilia