Pre GE2025 Davis Mosha kugombea Ubunge Jimbo la Moshi Mjini kupitia tiketi ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Andiko refu sana... Mnapataje muda wa kukaa na kuandika yote haya masta??

Anyway nimeona neno Mosha Nikajua mchaga tu sikuendelea kusoma nimepotezea...
 
Kampeni Meneja mbona umeanza kupanda jaziba? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hivi hii kazi utaiweza kweli au ndio uchawa Pro?

Halafu mikakati yako imekaa kiwizi wizi tu una uhakika gani atapenya na kupitishwa na kamati kuu?

Ulichokiandika hapa ni sawa na umeamua kumuhadaa tu huyo ndugu Davis Mosha.
 
Kwani kura za kuchaguana tayari ama nae anajipitisha kibabe kama MAMA mzenji alivyowafanyia fisiem ๐Ÿคฃ

Habari zinasema anatarajia kugombea, kama nimeelewa vizuri ni kwamba bado hajakuwa mgombea.
 
Kunywa supu nyama ziko chini mkuu
 
Ukiunganisha doti Davis mosha. Steve.nyerere na.mzee wa.mipete.lazima wajumbe wampitishe.tuu. oda itatoka.juu
 
Amejipangaje kwenda kupambana na hii arodha ya wanaCCM wenzake ambao wamejipanga vilivyo pia kugombea.
1. Tarimo. (Mfanyabiashara na Mbunge wa sasa)
2. Boisafi (mfanyabiashara mkubwa na mwenyekiti wa CCM wa Moshi)
3. Ibra line (mfanyabiashara mkubwa, kada mwandamizi wa CCM)
4. Raibu (mfanyabiashara mkubwa kijana, Diwani wa Pasua, Meya wa zamani wa Moshi)
5. Mareale?? (Mfanyabiashara na Chief wa koo za kichaga)
6. Sarakana?? (Mfanyabiashara na mwanasiasa wa muda mrefu wa Moshi)
7. ???? (Mmiliki wa vituo vya mafuta vya Munio)
 
R.I.P LEMUTUZ.
Super Brand Billionea.
#Back in days 2015 Davis Mosha alipogombea hadi akashika nafasi ya 2.
Huku wapiga kampeni wake wakiwa akina LEMUTUZ the Super Brand.
 
Hongera kwake๐Ÿ‘
 
Yahaya,jamaa alivuma sana uchaguzi mkuu 2010 nadhani...alipigwa vibayaa na CHADEMA wakati ule!
Davis Mosha alikuwa ndiye Yahaya wa ule wimbo wa lady jaydee!
Jamaa hana nyumba wala makazi Moshi, ilimkost sana kwenye uchaguzi ule.
 
Yahaya,jamaa alivuma sana uchaguzi mkuu 2010 nadhani...alipigwa vibayaa na CHADEMA wakati ule!
Davis Mosha alikuwa ndiye Yahaya wa ule wimbo wa lady jaydee!
Jamaa hana nyumba wala makazi Moshi, ilimkost sana kwenye uchaguzi ule.
Alishajenga nyumba tayari
 
Hongera zake Ndugu Mosha mtu Sahihi kabisaa 0655 308494 nipigie tuyajenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ