Pre GE2025 Davis Mosha kugombea Ubunge Jimbo la Moshi Mjini kupitia tiketi ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Davis Mosha Mtu Sahihi na Wakati sahihi kwa Jimbo la Moshi Mjini, nitafute nikupe Darasa kidogo la Jinsi ya kupata kwa wapiga Kura 0655 308494
 
Jimbo lenu Moshi mjini umesema? Sasa ndio nimegundua aisee sababu ya kumchukia Lissu na kumpenda Mbowe, kumbe ni sababu ya uchaga wenu, wachaga hamfai yaani mchaga fresh wa kwanza Lema sijui kama kuna wengine wasio na ukabila naanza kuwaorodhesha, ila wa Lema wa kwanza
 
Huu ni uongo mkubwa sana Wala huyu kaka mkubwa hajakutuma na haya ni maneno ya ibraline ili Kuonyesha tabia yake ya kutangaza kutaka ubunge kabla ya wakati sio yeye pekee na wengine pia wapo huyu ibraline ni mtu wa ajabu aliye tangaza hijja kubwa ni rombo na si saudia huyu mtu anatokwa akili mapema hivi kwanini???

Davis mosha hajakutuma Wala hajafanya lolote linaloashiria kutaka ubunge sasa wewe kibaraka msukule wa Ibraline a.k.a ABUU JAHALI HUJAJI WA ROMBO unakuja kusema uongo wako huku embu tumieni njia nyepesi za kuwaambia wananchi mtawafanyia nini sio matusi na kupotosha
 
 

Attachments

  • 20250112_093956.jpg
    20.9 KB · Views: 0
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…