Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,288
Huyu Davis ni muhuni tu hakuna haja ya kumtetea, ni mvuta bangi tokea enzi anasoma naamini bado hajaacha, kama wako wanaokumbuka enzi za Namfua watatueleza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyewe alisema Tuli alimtukana Morogoro na akawa anamtafuta ili ampige,na bahati nzuri wakakutana Tanga,na ndo ikabidi alianzishe livalangati sasa kwanini wasimalizane bila hata kurusha ngumi! Tumekosa medali New Delhi,kumbe mabondia wazuri walibaki nyumbani.Acheni majungu..muulizeni mwenyewe kwanza siyo mnamhukumu kwa vile hayupo hapa aweze kujitetea..ebo!