NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Acha maneno machafu ya kuchafuana bwashee.Aweke mafuta gani kwenye bodaboda, yeye mwenyewe hata kulipa wafanyakazi wake inamuwia shida ndio itakuwa kununua bodaboda? Namjua vizuri huyo tapeli, wafanyakazi wake wanalalamika kuwa anawashushia mishahara na hata kuwalipa inakuwa tabu. Halafu anakwenda kusaka sifa nyepesi kwenye kampeni za ccm! Shubamit.