Ana njaa kali na pia anasaka uteuziI Kwani ye nani hadi atuelekeze? Tunataka katiba mpya ya wananchi.
Tumbo lake lisitusumbue
Upepo we huuoni Ngosha akipita njiani watu wanavyomlaki?Davis Mosha rafiki yangu wa zamani soma upepo
Huyu mwizi wa mafuta aimeshia wapi ...tapeli mwizi mkubwa huyu wa mafutaAliyewahi kuwa Mgombea wa CCM Moshi Mjini na bilione Davis Mosha amwombea kura, Rais Magufuli, Priscuss Tarimo na Juma Raibu
Kada wa Chama cha Mapinduzi na Aliyekua Mgombea wa Ubunge Moshi Mjini 2015, Ndugu Davis Mosha leo aliendelea na Kazi ya Kuomba kura za Urais kwa Dr. John Pombe Magufuli, Kura za Ubunge kwa Priscus Tarimo na Kura za Madiwani wa CCM. Davis Mosha alikutana na Kinamama vijana na Wazee wa Kata ya Miembeni katika Kikao cha ndani na kuzungumza nao Umuhimu wa Kuipa kura chama cha Mapinduzi.
Pia alitumi nafasi hiyo kueleza kazi alizozifanya Dr. John Pombe Magufuli pamoja faida ya kumchagua katika Kipindi kingene cha Miaka mitano.
Aliwasihi wakina mama na Wazee kuzungumza na Vijana wao juu ya Mustakabali wa Maisha yao ya Baadae kwani kura yao ni yenye thamani kubwa na Dr. Magufuli pekee ndiye anayeweza kuipa thamani kura hiyo.
ia alitumia muda huo kumuombea Priscus Tarimo kura za Ubunge na kuahidi iwapo Priscus atachaguliwa basi atatekeleza zile ahadi binafsi alizoahidi mwaka 2015 kupitia Priscus na Madiwani wake. Davis Mosha alimaliza kwa kusema bado nia yake ni kukombolewa kwa Jimbo la Moshi ili tupate maendeleo.View attachment 1605388View attachment 1605389View attachment 1605390
View attachment 1605391
View attachment 1605436
Kama Davis Mosha anawajua wateja wa kulinunua hili li-nchi, na mteja mwenye Bei ni nzuri kapatikana tuliuze tu tugawane hela zetu. Chezea nguvu ya hela wewe!!!?? Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia watu wakinunuliwa wazima wazima na kuhamia CCM.Aliyewahi kuwa Mgombea wa CCM Moshi Mjini na bilione Davis Mosha amwombea kura, Rais Magufuli, Priscuss Tarimo na Juma Raibu
Kada wa Chama cha Mapinduzi na Aliyekua Mgombea wa Ubunge Moshi Mjini 2015, Ndugu Davis Mosha leo aliendelea na Kazi ya Kuomba kura za Urais kwa Dr. John Pombe Magufuli, Kura za Ubunge kwa Priscus Tarimo na Kura za Madiwani wa CCM. Davis Mosha alikutana na Kinamama vijana na Wazee wa Kata ya Miembeni katika Kikao cha ndani na kuzungumza nao Umuhimu wa Kuipa kura chama cha Mapinduzi.
Pia alitumi nafasi hiyo kueleza kazi alizozifanya Dr. John Pombe Magufuli pamoja faida ya kumchagua katika Kipindi kingene cha Miaka mitano.
Aliwasihi wakina mama na Wazee kuzungumza na Vijana wao juu ya Mustakabali wa Maisha yao ya Baadae kwani kura yao ni yenye thamani kubwa na Dr. Magufuli pekee ndiye anayeweza kuipa thamani kura hiyo.
ia alitumia muda huo kumuombea Priscus Tarimo kura za Ubunge na kuahidi iwapo Priscus atachaguliwa basi atatekeleza zile ahadi binafsi alizoahidi mwaka 2015 kupitia Priscus na Madiwani wake. Davis Mosha alimaliza kwa kusema bado nia yake ni kukombolewa kwa Jimbo la Moshi ili tupate maendeleo.View attachment 1605388View attachment 1605389View attachment 1605390
View attachment 1605391
View attachment 1605436
Baada ya Shule za Kata kuwaondolea ujinga Watanzani, propaganda za Davis Mosha ni za kipumbavu kabisaaa masikioni mwa watanzani wa leo.Atupe mfano wa nchi ambayo ilishawahi kuuzwa na kwa nani ikiwezekana atupe na mkataba pamoja na risiti ya EFD ya mauziano kama hana hiyo ni propaganda tu kama zilivyo nyingine
Kwenye huyu
Hawapumui vizuri yani,wamebaki kurusharusha miguu tuLissu kawashika kooni
Swissme
We kapuku kufa na Chadema yako.ufadhili wake kwa Yanga uliishia wapi ?
Wataanzia wapi?Unaposena "ATAUZA NCHI"
KUVIPI?
MIKUTANO YA CCM, NENO "HAKI" MBONA HALISIKIKI?
"HAKI HUINUA TAIFA"
Povu? Hoja za msingi KAU?We kapuku kufa na Chadema yako.
Hatudanganyiki. Jiwe na wenzie ndio wanaojua walikouzia madini ya nchi hii. Na kujilinda na sheria mbovu.Mfadhili wenu Robert Amstadarm anasubiri madininkwa hamuView attachment 1605951
Zipo wapi Noa tulizoahidiwa Nchi nzima? mikataba mipya ya madini ni siri kubwa ndani yake kuna ufisadi pindi CCM wakiwekwa benchi ndipo utajua kuwa CCM hakuna malaika kila CCM ni mpigaji diliMfadhili wenu Robert Amstadarm anasubiri madininkwa hamuView attachment 1605951
Nchi iliyzwa mwaka 1998 magufuli mtukufu akiwa mbunge na mojawapo wa wabunge wa CCM walioshiriki kuuza NchiHatudanganyiki. Jiwe na wenzie ndio wanaojua walikouzia madini ya nchi hii. Na kujilinda na sheria mbovu.
Devis mosha aweza kuwa ndiyo CCM mpumbavu kuliko CCM wengine mbumbumbu kama akina cyprian Musiba le mutuz polepole na wemzaoBaada ya Shule za Kata kuwaondolea ujinga Watanzani, propaganda za Davis Mosha ni za kipumbavu kabisaaa masikioni mwa watanzani wa leo.