Uchaguzi 2020 Davis Mosha: Mpeni Magufuli, hao wengine watauza nchi

Aliyewahi kuwa Mgombea wa CCM Moshi Mjini na bilione Davis Mosha amwombea kura, Rais Magufuli, Priscuss Tarimo na Juma Raibu

Kada wa Chama cha Mapinduzi na Aliyekua Mgombea wa Ubunge Moshi Mjini 2015, Ndugu Davis Mosha leo aliendelea na Kazi ya Kuomba kura za Urais kwa Dr. John Pombe Magufuli, Kura za Ubunge kwa Priscus Tarimo na Kura za Madiwani wa CCM. Davis Mosha alikutana na Kinamama vijana na Wazee wa Kata ya Miembeni katika Kikao cha ndani na kuzungumza nao Umuhimu wa Kuipa kura chama cha Mapinduzi.

Pia alitumi nafasi hiyo kueleza kazi alizozifanya Dr. John Pombe Magufuli pamoja faida ya kumchagua katika Kipindi kingene cha Miaka mitano.

Aliwasihi wakina mama na Wazee kuzungumza na Vijana wao juu ya Mustakabali wa Maisha yao ya Baadae kwani kura yao ni yenye thamani kubwa na Dr. Magufuli pekee ndiye anayeweza kuipa thamani kura hiyo.

ia alitumia muda huo kumuombea Priscus Tarimo kura za Ubunge na kuahidi iwapo Priscus atachaguliwa basi atatekeleza zile ahadi binafsi alizoahidi mwaka 2015 kupitia Priscus na Madiwani wake. Davis Mosha alimaliza kwa kusema bado nia yake ni kukombolewa kwa Jimbo la Moshi ili tupate maendeleo.View attachment 1605388View attachment 1605389View attachment 1605390

View attachment 1605391
View attachment 1605436

Huyu mwizi wa mafuta aimeshia wapi ...tapeli mwizi mkubwa huyu wa mafuta
 
Nchi ilishauzwa zamani na CCM hawa wengine ndio wanaotaka kuikomboa nchi iliko uzwa.
 
Aliyewahi kuwa Mgombea wa CCM Moshi Mjini na bilione Davis Mosha amwombea kura, Rais Magufuli, Priscuss Tarimo na Juma Raibu

Kada wa Chama cha Mapinduzi na Aliyekua Mgombea wa Ubunge Moshi Mjini 2015, Ndugu Davis Mosha leo aliendelea na Kazi ya Kuomba kura za Urais kwa Dr. John Pombe Magufuli, Kura za Ubunge kwa Priscus Tarimo na Kura za Madiwani wa CCM. Davis Mosha alikutana na Kinamama vijana na Wazee wa Kata ya Miembeni katika Kikao cha ndani na kuzungumza nao Umuhimu wa Kuipa kura chama cha Mapinduzi.

Pia alitumi nafasi hiyo kueleza kazi alizozifanya Dr. John Pombe Magufuli pamoja faida ya kumchagua katika Kipindi kingene cha Miaka mitano.

Aliwasihi wakina mama na Wazee kuzungumza na Vijana wao juu ya Mustakabali wa Maisha yao ya Baadae kwani kura yao ni yenye thamani kubwa na Dr. Magufuli pekee ndiye anayeweza kuipa thamani kura hiyo.

ia alitumia muda huo kumuombea Priscus Tarimo kura za Ubunge na kuahidi iwapo Priscus atachaguliwa basi atatekeleza zile ahadi binafsi alizoahidi mwaka 2015 kupitia Priscus na Madiwani wake. Davis Mosha alimaliza kwa kusema bado nia yake ni kukombolewa kwa Jimbo la Moshi ili tupate maendeleo.View attachment 1605388View attachment 1605389View attachment 1605390

View attachment 1605391
View attachment 1605436

Kama Davis Mosha anawajua wateja wa kulinunua hili li-nchi, na mteja mwenye Bei ni nzuri kapatikana tuliuze tu tugawane hela zetu. Chezea nguvu ya hela wewe!!!?? Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia watu wakinunuliwa wazima wazima na kuhamia CCM.
 
Atupe mfano wa nchi ambayo ilishawahi kuuzwa na kwa nani ikiwezekana atupe na mkataba pamoja na risiti ya EFD ya mauziano kama hana hiyo ni propaganda tu kama zilivyo nyingine
Baada ya Shule za Kata kuwaondolea ujinga Watanzani, propaganda za Davis Mosha ni za kipumbavu kabisaaa masikioni mwa watanzani wa leo.
 
iuzwe Mara ngapi,kama wanunuzi wanataka kutununua Mara nyingine ruksa ila lazima tumchague lisu
 
Huwa ninashangaa sana mtu anayetoa kauli kuwa chama fulani kikishika hatamu basi kitauza nchi...

Hivi nchi huwa ni mali ya chama au mtu fulani aliye madarakani?
 
Teh teh eti mosha naye anajifanya mzee wa clean sheet [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Awachie ccm wenyewe wazungumze
Au ndiyo kula na kipofu

Ova
 
Hatudanganyiki. Jiwe na wenzie ndio wanaojua walikouzia madini ya nchi hii. Na kujilinda na sheria mbovu.
Nchi iliyzwa mwaka 1998 magufuli mtukufu akiwa mbunge na mojawapo wa wabunge wa CCM walioshiriki kuuza Nchi
 
Baada ya Shule za Kata kuwaondolea ujinga Watanzani, propaganda za Davis Mosha ni za kipumbavu kabisaaa masikioni mwa watanzani wa leo.
Devis mosha aweza kuwa ndiyo CCM mpumbavu kuliko CCM wengine mbumbumbu kama akina cyprian Musiba le mutuz polepole na wemzao
 
Back
Top Bottom