Davis Mosha njoo Moshi bila CCM 2020 utapata ubunge

Davis Mosha njoo Moshi bila CCM 2020 utapata ubunge

Mkuu Nantombe,Ndesamburo ndio alikua kikwazo kwa ccm Moshi mjini.
2020 Mosha akiamua kugombea anashinda mapema sana
 
Sijui nimewazaje ila mara nyingine kuna watu wanakose karata zao, huyu bwana 2015 angekuja Moshi kwa tiketi hata TLP, ubunge angeupata asubuh na mapema. Kosa lilikuwa kuja kupambana na CHADEMA angali wewe ni CCM.

Unaweza ukawa mtu makini ila ukishavaa jezi ya CCM it become first disqualification. Na hii ni siri nawamegea na watu makini wengine wanaotaka ubunge. 2020 msiende kwa tiketi ya CCM, nendeni kwa tiketi ya vyama vingine vyenye misimamo ya kati.

Naona kabisa huyu mtu angeleta maendeleo Moshi, ila ilibidi acheze karata zake vyema 2015. Resources alikuwa nazo za kutosha kushinda Ubunge.

Mwingine ni Mtatiro huyu jamaa ana potential naona kama anakuwa mzembe sana kukamilisha mipango. Darasani ni wale wanafunzi wanaojua lakini wanafeli, na dawa yao ni kuwachapa makofi akili ikae sawa.
Mnataka mle pesa za kaka wa watu alafu mumpige chini tena.

Mosha hawezi kuja kuliwa tena pesa zake kwa kweli.
 
Back
Top Bottom