Davis Mosha, Seif Magari na Abdallah Kleb warudi Yanga

Seif Magari
Abdallah bin Kleib
David Mosha

Kamati tendaji 😂😂😂😂🙌🙌🙌🤔
Juu yao alipaswa kuwepo manji ,ubingwa asubuhi tu,sasa hivi hawa wanaenda kumlinda mwenyekiti dhidi ya mgeni GMS ambaye kapewa lift anapiga na honi.yangu kuna mtunishiana misuli kati chair na tajiti mwajiri wa manara.muda utaongea
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu
Nenda ukalale halafu ushtuke tena ili utoe wenge hilo
 
Zama hizi za mama hawana lolote,magu kuna mtu alikua anamdanganya,mama anaelewa kila kitu na ndio maana miamba yote inarudi na tena cha kufurahisha inarudi ikiwa na hasira kwa yaliyowatokea
Mtani unahakika unachosema lakini?,ngoja tuone kama ni kweli ligi inaanza soon tutaona kama ni kweli.
 
Seif Magari
Abdallah bin Kleib
David Mosha

Kamati tendaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji848]

Naona mtani mmeamua kurudi enzi zilee za “mpira nnje ya uwanja” Bahati mbaya sana mbinu hizo zimekuwa za kizamani.
 
Kuna game zetu nyingi za Yanga ligi kuu huwa zinachezewa sana, basi dawa yao tumepaita

Unaona sasa,safari hii hamna wa kumsingizia.Manara mnae,Wacongo kama wote,na hiyo Kamati tendaji,vipigo vikianza,tusisikie kumbebesha lawama Mzee Karia na Bodi ya Ligi
 
Juu yao alipaswa kuwepo manji ,ubingwa asubuhi tu,sasa hivi hawa wanaenda kumlinda mwenyekiti dhidi ya mgeni GMS ambaye kapewa lift anapiga na honi.yangu kuna mtunishiana misuli kati chair na tajiti mwajiri wa manara.muda utaongea
Wewe jamaa na mashaka na uyanga wako
 
Jinsia yangu inakuhusu nini? Btw Wanaume wa kizenji mbona ni laini kama chapati za kumimina[emoji3][emoji3][emoji3]
Tusifikie huko bro,avatar yako aikisi unayomquote mkuu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…