Heri ya mwaka mpya. naomba kujuzwa ni dawa gani/mimea ya asili naweza tumia kutibu meno yangu yanayouma? meno hayajatoboka ila yanauma kwa ndani. msaada plz
Kila siku Asubuhi kabla ya kunywa kitu jaribu Ukinge Mkojo wako kisha usukutuwe mdomoni kama dakika 5 kisha tema huo mkojo wako fanya hivyo kwa muda wa siku 3 kisha njoo hapa unipe feedback.@lukme