Dawa asili kwa meno yaumayo

Dawa asili kwa meno yaumayo

lukme

Senior Member
Joined
Apr 18, 2012
Posts
191
Reaction score
24
Heri ya mwaka mpya. naomba kujuzwa ni dawa gani/mimea ya asili naweza tumia kutibu meno yangu yanayouma? meno hayajatoboka ila yanauma kwa ndani. msaada plz
 
Kila siku Asubuhi kabla ya kunywa kitu jaribu Ukinge Mkojo wako kisha usukutuwe mdomoni kama dakika 5 kisha tema huo mkojo wako fanya hivyo kwa muda wa siku 3 kisha njoo hapa unipe feedback.@lukme
 
Du mbona mkojo ni waste product mkuu? This is new to me
 
Forever bright toothgel wil give u hope if u give it a try.
 
Back
Top Bottom