Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Kwa kuongezea hapa, Jinsi ya utengenezaji mafuta-dawa kutibu matatizo ya ngoziKuna boss wangu mmoja hivi akaniambia tumia mafuta ya nazi,
Mahitaji
- Mafuta ya nazi
- Jani la mua_lovera
Jinsi ya kuandaa mafuta yako
1. Chuma jani la mualovera na ulisafishe.
2. Ondoa ngozi yake ya juu
3. Kwangua sehemu iliyobakia ili kupata yale maji maji yake
4.. Changanya maji ya mualovera na mafuta ya nazi kwa uwiano wa 2:1 ( Vichupa viwili vya alovera uliyo andaa kwa chupa moja ya mafuta ya nazi)
5. Chemsha kwa pamoja huo mchanganyiko ili kuondoa/kukausha majimajima ya alovera ii yabakimafuta matupu
6.Acha yapoe mafuta yako, na yachuje kwa chujio, Yahifadhi na Yako tayari kwa matumizi. cc: Rwazi1
Picha: Mafua ya nazi yapatikanayo madukani kiurahisi
NB: Haya mafuta anaweza kutumia pia mwanaume mwenye vipele kidevuni vitokanavyo na kunyoa