Johnson json
Member
- Aug 20, 2023
- 29
- 38
Nina kuku wa mayai zaidii ya 800+.. lakini Kwa Sasa wanashambuliwa na ugonjwaa wakuharaa kinyesi cha njano na cheupee nimetumia dawa za kutosha, ushaurii kutoka Kwa wataalamu lakin wapii sijaona mabadili.
Nimekuja hapa jukwaani naomba msaada Kwa yeyote mwenye njia nyingne mbadalaa namaansha dawaa ambayo naweza tatua hili tatizoo kwenye ufugajii wangu maana umekuwa kikwazoo kikubwaa sanaa.
Nimekuja hapa jukwaani naomba msaada Kwa yeyote mwenye njia nyingne mbadalaa namaansha dawaa ambayo naweza tatua hili tatizoo kwenye ufugajii wangu maana umekuwa kikwazoo kikubwaa sanaa.