M misasi New Member Joined Aug 15, 2011 Posts 3 Reaction score 0 Aug 26, 2011 #1 WanaJF, Naombeni mnishauri dawa gani ya kimasai au ya kitaalam ya kutumia ili kuimarisha mishipa ya mashine yangu.na zinapatikana wapi?
WanaJF, Naombeni mnishauri dawa gani ya kimasai au ya kitaalam ya kutumia ili kuimarisha mishipa ya mashine yangu.na zinapatikana wapi?
Power G JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 3,884 Reaction score 1,198 Aug 26, 2011 #2 Mchuzi wa pingili mbili za mwisho za mkia wa mbwa. Chemsha kunywa kutwa mara 3
Viper JF-Expert Member Joined Dec 21, 2007 Posts 3,666 Reaction score 1,404 Aug 26, 2011 #3 Jsaudi said: Mchuzi wa pingili mbili za mwisho za mkia wa mbwa. Chemsha kunywa kutwa mara 3 Click to expand... hahaha dah!!!!
Jsaudi said: Mchuzi wa pingili mbili za mwisho za mkia wa mbwa. Chemsha kunywa kutwa mara 3 Click to expand... hahaha dah!!!!
BPM JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,760 Reaction score 576 Aug 26, 2011 #4 jiamini unaweza na uko ok
pcman JF-Expert Member Joined Oct 9, 2008 Posts 742 Reaction score 189 Aug 26, 2011 #5 mashine gani ina mishipa?.
Kiteitei JF-Expert Member Joined Jan 14, 2009 Posts 1,595 Reaction score 1,540 Aug 27, 2011 #6 pcman said: mashine gani ina mishipa?. Click to expand... mkuu, si anamaanisha ro-mbo?! au nimemuelewa vibaya na mie
pcman said: mashine gani ina mishipa?. Click to expand... mkuu, si anamaanisha ro-mbo?! au nimemuelewa vibaya na mie
ndenga JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 1,824 Reaction score 1,427 Aug 27, 2011 #7 Hamna mashine zenye mishipa, tuliza mawazo utaweza.
pepim JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 335 Reaction score 52 Aug 29, 2011 #8 Tatizo ni picha za pono,ndizo ambazo huwaharibu vijana wengi...Wanafanya ulinganisho na mashine zao,mwisho wa siku wanajawa hofu na kujiona wadhaifu.
Tatizo ni picha za pono,ndizo ambazo huwaharibu vijana wengi...Wanafanya ulinganisho na mashine zao,mwisho wa siku wanajawa hofu na kujiona wadhaifu.