Dawa gani inafaa kutumia

Dawa gani inafaa kutumia

misasi

New Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
3
Reaction score
0
WanaJF, Naombeni mnishauri dawa gani ya kimasai au ya kitaalam ya kutumia ili kuimarisha mishipa ya mashine yangu.na zinapatikana wapi?
 
Mchuzi wa pingili mbili za mwisho za mkia wa mbwa. Chemsha kunywa kutwa mara 3
 
Hamna mashine zenye mishipa, tuliza mawazo utaweza.
 
Tatizo ni picha za pono,ndizo ambazo huwaharibu vijana wengi...Wanafanya ulinganisho na mashine zao,mwisho wa siku wanajawa hofu na kujiona wadhaifu.
 
Back
Top Bottom