Dawa gani inasaidia kuondoa upofu?

Dawa gani inasaidia kuondoa upofu?

kangesa

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2023
Posts
551
Reaction score
1,063
Habari?

Kifaranga wangu ana wiki ya tatu sasa hivi. Wiki ya kwanza ndiyo niligundua kuwa haoni baada ya kula, kunywa maji na kutembea kwa hisia(yaani anabahatisha kila anachokifanya).

Hajawahi kuwa na ugonjwa wa macho tangu ametotolewa.

Mwenye kujua dawa humu anisaidie kwasababu dawa za matone nimetumia lakini hakuna matokeo kabisa
 
Back
Top Bottom