Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Kuna dawa ya asili nasikia inatibu ni mafuta ya Hubaati soda (black seed)Habari wakuu,
Nilikuwa nauliza Kwa mtu mwenye bawasiri na hataki kufanya oparesheni ya kukata maana nasikia wanafanyaga hivo wengine.
Dawa asili au zozote za kumeza au kupaka ili kupona huu ugonjwa wakuu, naomba kufahamu.
Ni bawasiri ya nje.
Habari wakuu,

Dawa nzuri ni zile zunatibu chanzo. Chanzo kikitibika hutakuja kupata huo shida tenaHabari wakuu,
Nilikuwa nauliza Kwa mtu mwenye bawasiri na hataki kufanya oparesheni ya kukata maana nasikia wanafanyaga hivo wengine.
Dawa asili au zozote za kumeza au kupaka ili kupona huu ugonjwa wakuu, naomba kufahamu.
Ni bawasiri ya nje.
Ag cera ndio dawa ganiDawa Yake ni ag cera ,hii tiba imewasaidia wengi,inahusika na kiini cha tatizo,maana mtu akiwa na bawasiri ikakatwa baada ya muda inarudi
Ndugu, hizi tabia za kusema umesikia sijui umefanyaje ndio hizo nyingine ziligharimu maisha na afya za wengine....Habari wakuu,
Nilikuwa nauliza Kwa mtu mwenye bawasiri na hataki kufanya oparesheni ya kukata maana nasikia wanafanyaga hivo wengine.
Dawa asili au zozote za kumeza au kupaka ili kupona huu ugonjwa wakuu, naomba kufahamu.
Ni bawasiri ya nje.
Ag cera ndio dawa gani
kwanin usimtumje hapaNitumie nambar yako inbox nikutumie kwenye Whats app
Nitumie nambar yako inbox nikutumie kwenye Whats app
Dawa ya maradhi ya Bawasiri ipo ukitaka nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.Habari wakuu,
Nilikuwa nauliza Kwa mtu mwenye bawasiri na hataki kufanya oparesheni ya kukata maana nasikia wanafanyaga hivo wengine.
Dawa asili au zozote za kumeza au kupaka ili kupona huu ugonjwa wakuu, naomba kufahamu.
Ni bawasiri ya nje.
Hizo Dawa za Annusol Suppository au cream ulizo zitaja zinasaidia kwa muda tu kurudisha kwa ndani ule uvimbe lakini baada ya muda maradhi yanarudi tena. Labda akafanyiwe operesheni ya upasuaji na zipo dawa za asili za kuweza kuponyesha kabisa hayo maradhi ya Bawasiri.Tumia annusol suppository au cream zinapatikana phamarcy
dosage ipoje ya habat soda? kupaka au kunywa? ni najua mafuta ya mbono / castrol oilKuna dawa ya asili nasikia inatibu ni mafuta ya Hubaati soda (black seed)
vipi na nguvu za kiume zilirudi? maana bawasiri inasepa na nguvu za kiumeNiliwahi kusoma hapa hapa JF ushuhuda wa mtu kuhusu matumizi ya Castor Oil kwenye tatizo hilo. Namimi kuna wakati nilipata tatizo la choo kwa muda merefu mpaka nikapata hiyo bawasiri na nikanunua hiyo castor oil kujaribu kama itanisaidia. Kwangu ilifanya kazi aisee within 2 weeks ile nyama ikaanza kupotea na baada ya mwezi ilipotea kabisa mpaka sasa haijarudi tena