Dawa gani nzuri ya Bawasiri?

Dawa gani nzuri ya Bawasiri?

Pain killer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
14,361
Reaction score
21,680
Habari wakuu,

Nilikuwa nauliza Kwa mtu mwenye bawasiri na hataki kufanya oparesheni ya kukata maana nasikia wanafanyaga hivo wengine.

Dawa asili au zozote za kumeza au kupaka ili kupona huu ugonjwa wakuu, naomba kufahamu.

Ni bawasiri ya nje.
 
Kuna dawa ya asili nasikia inatibu ni mafuta ya Hubaati soda (black seed)
 
Habari wakuu,

Nilikuwa nauliza Kwa mtu mwenye bawasiri na hataki kufanya oparesheni ya kukata maana nasikia wanafanyaga hivo wengine.

Dawa asili au zozote za kumeza au kupaka ili kupona huu ugonjwa wakuu, naomba kufahamu.

Ni bawasiri ya nje.

Dawa Yake ni ag cera ,hii tiba imewasaidia wengi,inahusika na kiini cha tatizo,maana mtu akiwa na bawasiri ikakatwa baada ya muda inarudi
 
Habari wakuu,

Nilikuwa nauliza Kwa mtu mwenye bawasiri na hataki kufanya oparesheni ya kukata maana nasikia wanafanyaga hivo wengine.

Dawa asili au zozote za kumeza au kupaka ili kupona huu ugonjwa wakuu, naomba kufahamu.

Ni bawasiri ya nje.
Dawa nzuri ni zile zunatibu chanzo. Chanzo kikitibika hutakuja kupata huo shida tena
IMG-20230708-WA0003.jpg
 
Habari wakuu,

Nilikuwa nauliza Kwa mtu mwenye bawasiri na hataki kufanya oparesheni ya kukata maana nasikia wanafanyaga hivo wengine.

Dawa asili au zozote za kumeza au kupaka ili kupona huu ugonjwa wakuu, naomba kufahamu.

Ni bawasiri ya nje.
Ndugu, hizi tabia za kusema umesikia sijui umefanyaje ndio hizo nyingine ziligharimu maisha na afya za wengine....

Ona kipi Bora uende kufanya vipimo plus good management uipate au uendelee na guessing za dawa humu
 
Niliwahi kusoma hapa hapa JF ushuhuda wa mtu kuhusu matumizi ya Castor Oil kwenye tatizo hilo. Namimi kuna wakati nilipata tatizo la choo kwa muda merefu mpaka nikapata hiyo bawasiri na nikanunua hiyo castor oil kujaribu kama itanisaidia. Kwangu ilifanya kazi aisee within 2 weeks ile nyama ikaanza kupotea na baada ya mwezi ilipotea kabisa mpaka sasa haijarudi tena
 
Habari wakuu,

Nilikuwa nauliza Kwa mtu mwenye bawasiri na hataki kufanya oparesheni ya kukata maana nasikia wanafanyaga hivo wengine.

Dawa asili au zozote za kumeza au kupaka ili kupona huu ugonjwa wakuu, naomba kufahamu.

Ni bawasiri ya nje.
Dawa ya maradhi ya Bawasiri ipo ukitaka nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
 
Tumia annusol suppository au cream zinapatikana phamarcy
Hizo Dawa za Annusol Suppository au cream ulizo zitaja zinasaidia kwa muda tu kurudisha kwa ndani ule uvimbe lakini baada ya muda maradhi yanarudi tena. Labda akafanyiwe operesheni ya upasuaji na zipo dawa za asili za kuweza kuponyesha kabisa hayo maradhi ya Bawasiri.
 
Licha ya kutumia dawa jitahidi kuepuka mazingira yatayokuwa yanafanya bawasiri ijirudie mara kwa mara..Epuka kukaa choo muda mrefu,jitahid kwenda choo pale unapobanwa na haja ili kuepuka choo kuwa ngumu,punguza kula vyakula vitavyofanya choo yako kuwa ngumu(ngano) kama una uzito uliopitiliza jitahidi kuupunguza
Dawa ni Anusol suppostory au cream zinapatikana pharmcy zitakusaidia kwa shida yako
 
Niliwahi kusoma hapa hapa JF ushuhuda wa mtu kuhusu matumizi ya Castor Oil kwenye tatizo hilo. Namimi kuna wakati nilipata tatizo la choo kwa muda merefu mpaka nikapata hiyo bawasiri na nikanunua hiyo castor oil kujaribu kama itanisaidia. Kwangu ilifanya kazi aisee within 2 weeks ile nyama ikaanza kupotea na baada ya mwezi ilipotea kabisa mpaka sasa haijarudi tena
vipi na nguvu za kiume zilirudi? maana bawasiri inasepa na nguvu za kiume
 
Back
Top Bottom